Wadada wa kazi ni balaa

Lakini pia wanasaidia maana wanawake wa siku hizi nao wazembe hata kazi ya kufua kufuli za bwana zao huwapa lakini mshahara kiduchu...Ulaya ukiajiri huyo wewe ni tajiri
 
how do you manage that?
mtoto akishaweza kwenda toilet mwenyewe
baasi
majukumu mengine
tunafanya kama familia
baba najua kupika na kufua
nampunguzia wife shughuli
na watoto wanaanza kujifunza kujitegemea.
Ofcoz ni miaka mingi nyuma watu walitushangaa
lakini ilituepusha na mengi
 
Nafikiri good solution ni kutumia technology kama washing machine, dish washers, microwave, na kadhalika. Halafu mi-robot itakuwa bora kuliko human katika jambo hili!!!

Wenzetu ulaya wanakuwa na daycare centre nzuri.
 
 
Lakini Kuna miongoni mwetu,hatuwatendei wema Hawa watu!,Kama wewe unamtesa,iweje apende wanao?...
 
wadada wa kazi sasa hivi ni majanga. nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha baby sitting kwa ajili ya watoto wadogo between three months and 3 yrs. unampeleka asubuhi na mapema na kumfuata jioni. wadada wa kazi hawabebeki hata umfanye nini, ni majanga tu... Ukimuudhi analipiza kwa malaika ambae hata hajui chochote. kazi kubwa wajuayo ni kula, kuongea na simu na kulala..!!! shughuli nyingine hazimhusu. ukiwepo ndio anapitapita sana tu kuonyesha kua ni mzuri lakini ngoja utoke....!!! watoto watakoma. rambirambi utazipata pale ukirudi mtoto hamtaki dada tena na ukiondoka analia sana, jua kuna tatizo. inasikitisha sana.
 
 
Hata wakaka hakuna, ni mimi na family. Kazi zote nafanya mwenyewe. Mtoto anashinda shule ya watoto hadi jioni. Nikitoka kazi namchukua, maisha yanaendelea.

Afadhali yako mamii1, maana hawa watu ni pasua kichwa si mchezo!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kuajiri watoto ili kuwalipa kiduchu. Ajiri mtu aliekomaa kiakili na mlipe vizuri. We kama mtoto amemaliza la saba hata kwenda sekondari ya kata hajafanikiwa wee unategemea nini atakusaidiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…