siku hizi ma bibi harusi wengi ni kama wanaoa wao mahari amajitolea sherehe anagharamia hapo alie nn sasa hahha
Weeee! NAni alie? HAlafu kope zangu zikitoka je na make up?
Mabibi arusi WENGI...hapana sio kweli. Sikatai wapo wanaofanya hivyo ila sio WENGI kama unavyodai
namaanisha wengi sio wote
si wanafurahia kuingia ndoani, kuzipata ndoa siku hizi imekuwa ishu
Hahahaha ni kweli mkuu hata mm nlikua nikijiuliza ilo swali bila majibu
na we utalia siku yako ikifika!??