Jana nilikuwa dodoma ilipofika majira ya saa 4 usiku mimi na rafiki yangu tuliamua kupita mitaa ya uhindini , kwa wasioijua dodoma mitaa hiyo ni maarufu kwa wadada kujiuza hasa wanafunzi wa vyuo pindi boom linapochelewa kutolewa na serikali.
Katika pitapita yetu tulikutana na wadada poa hao wakatuvamia na katika chagua chagua ikatokea sauti kwa mdada mmoja akimwambia mteja wake kwamba sikutaki wewe mnene nyie wanene mnachelewa kukojoa sana.
Kauli hiyo ilinishangaza sana , nikaamua niilete hapa jamvini ili tubadilishene mawazo .
Jana nilikuwa Dodoma ilipofika majira ya saa 4 usiku mimi na rafiki yangu tuliamua kupita mitaa ya uhindini , kwa wasioijua Dodoma mitaa hiyo ni maarufu kwa wadada kujiuza hasa wanafunzi wa vyuo pindi boom linapochelewa kutolewa na serikali.
Katika pitapita yetu tulikutana na wadada poa hao wakatuvamia na katika chagua chagua ikatokea sauti kwa mdada mmoja akimwambia mteja wake kwamba sikutaki wewe mnene nyie wanene mnachelewa kukojoa sana.
Kauli hiyo ilinishangaza sana , nikaamua niilete hapa jamvini ili tubadilishene mawazo.
Kunyweni maji mengi mtakojoa tu
Haa haaaa haaaaaa...jamaa anaona raha mwenyewe kugonga degree!!.umedanganywa....kila mahali ukienda machangu wote wanadai ni wanafunzi wa vyuo
ni mshamba tu wa wanawake....vibinti vinavyojiuza pale uhindini dodoma ni vichafu hata kwa mwonekano ni kama vi housegirl hiviHaa haaaa haaaaaa...jamaa anaona raha mwenyewe kugonga degree!!.
itakuwa ku-MICTURATEkukojoa gani unakomanisha ww ku urinate o ku ejaculate?
Hahahaha Yaani Mdada Huwaga Unakoshaga Kwa Kweli.Hivi Wewe Evelyn Salt Ni Kabila Gani?.....Nauliza Tu Mpendwa.Kunyweni maji mengi mtakojoa tu