Kuongea tu...lkn kwanza unamchunia kama masaa24
I pray nipate nguvu ya kusamehe na kupuuzia maudhi/kero na kuendelea na mambo yangu kama vile hamna kilichotokea. Maisha ni mafupi gorgeousmimi kubeba kero na kuhifadhi hasira/kinyongo. Yawezekana ndivyo alivyo, kwahiyo ni vizuri kuichukulia kama udhaifu wake huku ukimwombea na kumvumilia tu kwa upendo. Naamini upendo pekee ndio unaoweza kubadilisha hali yoyote
Mi kwakweli nikiwa na hasira huwa siwezi kuongea, huwa nauchuna tu...
akinikera namwandikia msg hata kama nipo nae hapo hapo namweleza alivonikera
it depend na mood yake kuna muda anasema sorry kuna muda anajidai kidume
whatever response yake itakavokuwa mi najisikia amani kwa kuwa nshasema yangu
naamini anajifanya kidume machoni tu ila moyoni kakiri
kifuatacho na act kama mwanamke natafta tu namna tugegedane na huo ndo unakuwa mwisho wa kesi.....
Hahaa huyo ndio #gorgeousmimi , nashauri tumpe cheo cha JF MATRONMkuu unafaa kuwa monitor,jinsi ulivyoyakariri majina ya hawa wadada...loading error...
Binafsi mimi akinikera mtu huwa nakumbuka kauli ya wakubwaqkunyamaza katikati ya hasira ni suluhisho kubwa"..nanyamaza natafuta maji yalipo kama yuko mbali natumia njia ya meseji zaidi kuliko kupiga simu..kama yupo karibu napenda akae juu mie chini ndo niweze kuzungumza nae vizuri..kukaa kimya kunasaidia kupunguza ugomvi kwenye mahusiano...wanawake tupunguze midomo na uvuvuzela..
Ahsante kwa kufunguka rafiki ila inaonekana tulio wengi tunanuna au kwa lugha nzuri kupunguza uchangamfu hii ntakchukulia ni kama ishara ya kuonesha umekerwa ili mtenda ajue kosa lake wakati mtendwa akitafakari alivyokerwa!kuna wale ambao wanasusa na kuweka mgomo,hakupikwi,hakupakuliwi,sheria zote zinavunjwa na amani inatowekea unakuta mtu kabinua mdomo tu na kuna uwezekano anajibu mbovu mbovu je hii ni njia sahihi ya kusuluhisha ugomvi?na kama mtu anajua anareact hivo akikerwa afanye nn?shoctito gorgeousmimi kikawaida mimi ni muongeaji,kwa hiyo nikikikasirishwa na jambo huwa naanza kwanza kwa kupunguza maongezi,majibu yanakuwa kwa ufupi na uchangamfu nauweka mfukoni,kwa hiyo hubby akishaona hivyo tu huwa ananiuliza vipi mama unaumwa au mama kuna kitu nimekuudhi?hapo na mi ndo naanza kufunguka sasa namweleza yangu ya moyoni na na nashukuru huyo aliyekuwa hubby wangu alikuwa mnyenyekevu hata kosa liwe dogo vipi angeniomba msamaha tu sasa ukichanganya na vile videko vya kike namzingua mara moja mbili tatu atanibembeleza hatimaye yanaisha,ikitokea ameamua tu kupuuzia hata nikikaa kimya basi naanza mimi mwenyewe kumwambia aliponikwaza tunayasolve yanaisha shosti ni hivyo tu kwa upande wangu.
Sasa usiposamehe rafiki ugomvi si utakuwa haujaisha bado?utakuwa unakaa na kinyongo/chuki rohoni?hali hio unaisuluhishaje?Dah!
Aidha nimekua au narudi utoto ila sijui kwanini siwezi tena kuhandle mazungumzo ya kusamehe na kusamehewa!
Najiamulia tu kuwa nimekusamehe maisha yanasonga au sijakusamehe na maisha yanasonga!
Essence ya msamaha kwangu ni kama haina maana vile!
Well sijui,pengine ni kipindi tu kinapita!
Nimependa ulivyonena ni jambo zuri sanaa kutokupenda kumtendea jambo mwenza wako ambalo wewe hupendi kutendewa!laiti watu wote wangekuwa hivo na wangejishusha kirashisi kusingekuwa na ugomvi!Binadamu tumeubwa tofauti na kuishi pamoja kama / mke/ mume/ mahusiano kukosana ni jambo LA kawaida ili tunatakiwa kusamehe Mimi naumia sana when I hurt someone ...nakosa aman rohoni mwangu naomba msamaha tunayaongea kwa kumaanisha kujenga na sii kubomoa kwa hekima na busara muafaka unafikia
Maisha yenywe mafupi kuish kwa vinyongo na hasira kujiletea stress na magonjwa yanni wakati unaweza kujishusha na kufika muafaka mzuri na mkapiga mechi ya maana baada ya msamaha
Ushawahi kukutana na yule mwanaume ambae mkikerana ana kuingilia kinguvu kama njia ya kukupunguzia hasira yaani anajua huko kwenye mood unamwambia sitakii lkn hakuachi?Mi kwakweli nikiwa na hasira huwa siwezi kuongea, huwa nauchuna tu...
akinikera namwandikia msg hata kama nipo nae hapo hapo namweleza alivonikera
it depend na mood yake kuna muda anasema sorry kuna muda anajidai kidume
whatever response yake itakavokuwa mi najisikia amani kwa kuwa nshasema yangu
naamini anajifanya kidume machoni tu ila moyoni kakiri
kifuatacho na act kama mwanamke natafta tu namna tugegedane na huo ndo unakuwa mwisho wa kesi.....
xiexie umeingia choo cha kike hivo….Hahaa huyo ndio #gorgeousmimi , nashauri tumpe cheo cha JF MATRON