Wadada stendi ya mkoa ubungo

wenyewe wanaona sifa kuzungumza vitu kama hivyo bila aibu...
 
Hao sijawahi kuwajaribu...:shocked::tape:
 
Laiti ungejua mazungumzo yangekuwa hayo ungeweka speaker masikioni mapema.

Ila na wewe jiulize, unawaona hao ni vimeo lakin wewe umecheat mara ngap??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
si hadi angekua na hizo loudspeaker
 

Kama uliwa-tepu hebu weka hapa janvini yawezekana huu ni umbea
 
Hakuna sehemu salama siku hizi,ukiwa na mwenza muombe tu Mungu ila usijiaminishe kwa 100% kuwa ha cheat!
 
Mchepiko ndo dili, NJIA KUU FOLLENI
mheshimiwa moderator, kuhusu utaratibu! Natumia kanuni inayokataza kuhamasisha ngono zembe na hivyo kuongeza kasi ya msambao wa ukimwi nchini. mheshimiwa moderator, member niliyemnukuu ametumia lugha ya kuhamasisha ngono kinyume cha kanuni naomba umtake afute kauli yake hasa ikizingatiwa yeye mwenyewe yuko kwenye ndoa.NAOMBA KUWASILISHA
 
Muheshimiwa member SIFUTI KAULI, naomba kutoa muongozo wa kikatiba ya jamuhuri ya muungano ya mwaka 1961, kwenye suala zima la UHURU WA MAWAZO, pia nitatumia muongozo wa haki za binaadam wa Un convention of human rights 1949 kipengele cha RIGHT TO FREEDOM OF SPEECH, Pia nitatumia kayiba ya Jf ambapo member anatakiwa KUSEMA UKWELI HATA UKIWA MGUMU ILI KUKIZI UHURU WA DEMOKRASIA.

NASISITIZA SIFUTI KAULI. "NJIA KUU FOLENI MCHEPUKO MNDO HABARI YA MUJINI"
 
Weka picha ya mtu akienda chumvini tuamini
 

JF bila lara 1 hainogi
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…