wadada punguzeni VITAMBIII!!

ingekua bora km mngefanya ivo...
lakini ndo kwanza mnatinga vle vnguo vya watoto...
Hahaha! Sio vinguo vya watoto bana, sema havivaliwi na wenye vitambi ndio mana wakivaa utadhani kakwapua cha mdogo wake lol.
 
Hahaha! Sio vinguo vya watoto bana, sema havivaliwi na wenye vitambi ndio mana wakivaa utadhani kakwapua cha mdogo wake lol.

teheheeee...chit chat bana tam kwel cna haja y kwenda kwenye jukwaa la ucheshi...humu humu nacheka sana
 
teheheeee...chit chat bana tam kwel cna haja y kwenda kwenye jukwaa la ucheshi...humu humu nacheka sana
Na usicheke sana manake kicheko pia kinaongeza kitambi, mashati yatabana hayo! Shauri zako!
 
Vyakula vyenye mafuta yanayoganda vimekuwa vingi sana siku hzi. Vitu vyenye sukari navyo vinazidi kuvutia.
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa, vyote hivi ni vyanzo vya kunenepeana bila mpangilio na magonjwa ya kisukari na moyo.
Jamani wake kwa waume tuzingatie milo sahihi na mazoezi ya kutosha (sio lazima kunyanyua vyuma), kwa afya zetu na muonekano wetu
 
Lol! Mamzalendo natamani ningekuona Beach (just kiddin)
 
acha kuwaongopea wenzio kitambi kwa mwanamke hakipendezi hata kidogo!! ..... mwanamke anakakua kama ana mimba muda wote!!kha.
MP.

sasa ndugu kama kila ukinitoa unanilazimisha nipate kabia na nyama choma kuonyesha hujachoka ntaachaje kuwa na kitambi,nikisema twende tukale salad huelewi na nyie tusaidieni pia wakaka,sawa?
 
sasa ndugu kama kila ukinitoa unanilazimisha nipate kabia na nyama choma kuonyesha hujachoka ntaachaje kuwa na kitambi,nikisema twende tukale salad huelewi na nyie tusaidieni pia wakaka,sawa?

aise mama umefunguka vizuri...
nikakupenda gafula..
 
ah mie nazimia demu mwenye kitambi kikubwa teh teh teh :madgrin::becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…