Hivi kuna mahali pamesemwa wanaume vitambi ndo dili??? Hamjui na sisi mnatuboa na mavitambi yenu alafu mnaona ya wanawake wakati wote ni kichefuchefu. Shepu la Obama bana
wanaboa kise***
Mazoezi baba, mazoezi! Pamoja na kuwa na displini ya misosi.. Mipombe ya bure nayo inywewe kwa staha. Upo hapo Bagah?
Ee kweli,kazi ipo,kwani kwa mfano kama ninacho unanisaidia kubeba si changu mwenyewe wewe kinakuuma nini?we tafuta asie nacho kama hupendi lakini kila m2 kwa raha zake,mi nlijua umekuja na point za kinachosababisha kumbe una yako!niache kula kwa raha eti naogopa kitambi kha,halafu nyie mnalia kitambi kitambi wengne Mungu ana makusudi yake embu pata picha nina matiti makubwa halafu tumbo sina kabisa how do i look,proportion inahusu pia,