Pesa ya kuhongwa tamu sana haina jashoTunajua katika kipengere hiki hatutoki mmetukaba haswa hatuchomoki mnatuchuna Hasa na sisi hatuna namna kwa sababu ndio hivyo tena tushaamua kufa kidondani,ila mnasikitisha sana! Inawezekana vipi we mdada tangu umebalehe mpaka una familia wengine mnakaribia mpaka kuitwa bibi lakini bado mnategemea kuhongwa Tu,muweke hata muda maalum wa kutumika basi ili mjenge maisha yenu ndio maana mnazeeka upesi. Na sisi hatuachi kuwahonga si mmetuwekea TV Ndani siku hizi...........
njoo kwangu, mimi si muhongaji kbs mkuuMwanaume muhongaji sijui namuonaje!!!
Tunajua katika kipengere hiki hatutoki mmetukaba haswa hatuchomoki mnatuchuna Hasa na sisi hatuna namna kwa sababu ndio hivyo tena tushaamua kufa kidondani,ila mnasikitisha sana! Inawezekana vipi we mdada tangu umebalehe mpaka una familia wengine mnakaribia mpaka kuitwa bibi lakini bado mnategemea kuhongwa Tu,muweke hata muda maalum wa kutumika basi ili mjenge maisha yenu ndio maana mnazeeka upesi. Na sisi hatuachi kuwahonga si mmetuwekea TV Ndani siku hizi...........
Ila angalau wamewekeza... Kuna wadada awamu hii utawaonea huruma kwa jinsi walivyoporomoka!!! Yaani kuna mdada alipangishiwa nyumba nzima na chepuko... Ananunuliwa simu ya milioni na safari kibao... Lenyewe lilikua linshinda saluni kubadilisha weave on na kupaka rangi kucha!!!! Awamu ya Magu, akaja bwagwa vibaya!!! Sijui karudi kwao wapi!!!Umenena vema mkuu,nadhani ni bora wawe na timeframe yakuhongwa,ona watu kama akina Wema,Wolper na Lulu,sijui kama ni lini wataamua kuwa akina mama nakuweka kando hayo maisha yakuhongwa,nawaonea huruma sana pale watakapokua mabibi na kipato kikapungua au kikapotea kabisa,wataishije.. sipati majibu kabisa.
Hatuhongi tunatoa RUZUKUMwanaume muhongaji sijui namuonaje!!!
kuhonga kwa kuandika ama kuhonga gani? kuna mwanaume anahonga nchi hii kweli?
Na wale marioo waliozoea kuhongwa nao choka mbayaa.Sawa tumekusikia!
Ngoma droo sasa hivi...Na wale marioo waliozoea kuhongwa nao choka mbayaa.
HahahahahhaahahahahahaKuhonga kwa kuandika ama kuhonga gani? kuna mwanaume anahonga nchi hii kweli?