Wadada nini hiki?

Wanawake wengi siku izi ni mwendo wa weaving bandika bandua...ata nywele original hatujui zinafananaje...give your hairs a break kidogo khaa

Mkuu huu uzi umeniguza sana!! Jirekebisheni akina dada wanaume wa siku hizi wanapenda ''Natural Beauty''
 
Halafu unaangalia na sura yako basi kitu gani kitakupendeza,wengine unakuta weaving limekaa kama fagio la buibui lakini yumo tu.

Naona una utani na mama wa mjengoni, Lol...
 
Halafu unaangalia na sura yako basi kitu gani kitakupendeza,wengine unakuta weaving limekaa kama fagio la buibui lakini yumo tu.
ha ha haaaa umepatia kweli ka fagio la buibui lol......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…