Wadada na nyie mnatamani wanaume?

kweli kabisa umenukuu maneno yangu!
Niliona nikushtue maana ulikuwa unatafuta dhahabu wakati unamiliki mgodi...ndivyo ilivyo..u will value that which you worked for..ndo maana hata wengi wanaoshinda bet..na casino.. Hizo hela huwa zinapukutika tu hazidumu..
 
uko vizuri.ilike that
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nataman ningekuona na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…