Yani hapo ndo umemtia chumvi..Hadi church atakuwa anaenda hivyoSafi mpendwa. Wanasema "no panties in them pants, that's so necessary".
Yani hapo ndo umemtia chumvi..Hadi church atakuwa anaenda hivyo
Hivo hujiulizi kwanini yamewekwa nyuma? Na yakapewa nyama za ziada?Teh teh..Basi muwe mnatembea kwa staha barabarani hata kama hamjavaa vifuniko..Sio kututingishia makalio kwa fujo..Mnahatarisha ndoa zetu wengine
Yale ni makalio sio matako, matako yamefichama mpaka uyaone ni kaziHabari za muda huu wadau wa jf?
Jamani siku hizi kama siwaelewi wanawake hasa wadada, maana wamekuwa wahamasishaji wakuu wa mihemko ya wanaume kingono. Utamwona anatembea barabarani amekuvalia nguo chupi unaiona imejichora. Akiwa anatembea hilo wowowo linavyohamasisha hapo shasha! Jaman nyie wanawake, ama ndo kusema mpo mnapromot biznez, siyo poa maana sisi wanaume tunapata shida kujzuia adi inatubidi tuwatongoze tu maana hakuna namna.
Jitunzeni, mjiheshim mtaacha kutumika kama chombo cha starehe na badala yake mtaheshimika na kuolewa na watu na heshima zao. Mnasababisha wenyewe wanaume kuwatongoza na zaid mmekuwa mkiishia kutumia.
NB: hii ni kwa wanawake wasiojitambua ambao hawaheshim maumbile ya miili yao, karibuni kwa michango ila staki matusi kwani ni tunaelimishana na kuwekana sawa.
Teh ..Haya bana..Basi muwe mnalegeza masharti mkifwata..Sio mnawapa watu mifadhaiko zen wakawafwata mnaanza masinemaHivo hujiulizi kwanini yamewekwa nyuma? Na yakapewa nyama za ziada?
Acha tako liitwe tako, acha tu yatingishike mpendwa
Mapicha picha lazmaTeh ..Haya bana..Basi muwe mnalegeza masharti mkifwata..Sio mnawapa watu mifadhaiko zen wakawafwata mnaanza masinema
Si kuyaangalia kwani lazma niyafanye kitu, we ya mwanamke unayafanya nini kwanihahahaaaaa nina mashaka na jinsia yako, sasa matako ya mwanaume yakikutamanisha ww utayafanyia nini Evelyn Salt
Eti ni kweli huwa ukiona milegezo huwa unalowa?Nyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Mwili mzima unaloa nakua kama nimenyeshewa na mvuaEti ni kweli huwa ukiona milegezo huwa unalowa?
Basi wewe ukiona simamisha tu,kuna aliyekunyima kusimamisha hadharani?Macho hayana mpaka mkuu
Pole mkuu ila haya yote ni maisha na kuna siku yataisha wala usikonde!Mwili mzima unaloa nakua kama nimenyeshewa na mvua
kwani kata k inawatamanisha?Nyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
La pili BUpo darasa la ngapi mkuu?
Ahahaahahahha duuuh tutake radhi aisee...vitunguu maji au swaumu?Mnoooo vitako kama vitunguu ila vinatamanisha