Wadada na makalio yao

nimekuja haraka sana nikajua nitapata picha ya kuipigia master bhn
 
Nyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Mpendwa nasikia we hauvai kabisa..Nyie ndo balaa zaidi..Mnatutesa
 
Nyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
usiniambie na nyie mnapata mihemko mkiona dume limepiga kata k....!!
 
Na mvua hizi zinazoendelea hapa mujini...unakutana na bonge la dada limenyeshewa mwili wote umelowa tapatapa Tako hilooo linatingishika...dooooh shekhe yataka moyo kujizuia aiseee
Wajada stamala unashindikana hapo bwana
 
Poleni tmk ni kweli yote wanawake wamezidi kutembea uxhii
 
Kwa hiyo unataka wadada wote wawe SpongeBeatrice squarepants? Wacha hizi mambo bana. Ukishindwa uzalendo, vaa shades sometimes.
 
Sio matakwa yake amina ila tambua macho hayana pazia na yalivyo macho na vitu vile nikama opposite side za sumaku zinapokutana
Na unaweza ganda ufahamu wote umekutoka hadi ushituliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…