kwani ni lazima kuvaa kila designer anachotengeneza? ni uzuzu tu....Nadhani madesigner pia wanachangia hapa! Tena sana tuu! Nao wasakamwe!
Umenichekesha basi maana mimi naandika uzi huu nipo katika harusi ya kiislamu hapa kuna vijambo naangalia nacheka mpaka mbavu sina!mtu kama gunia la mchele kavaa nguo nyuma ya matak o yake imepwaya yani basi tu!kwani ni lazima kuvaa kila designer anachotengeneza? ni uzuzu tu....
kuna mdada mmoja enzi hizooooooo alikuwa na shepu yake balaa......
siku moja akavaa nguo kituko yaani unashindwa kuvumilia kucheka... mwenyewe nguo kaliiiii ila sasa hiyo shape iliyovaa hiyo nguo ni balaa
mwenyewe akawa anasema hawezi pitwa na fashion sababu hana shape nzuri, ni lini sasa atapata hiyo shape nzuri?
kwa hiyo kaamua kujilipua tu....
mbona baada ya miezi tulimzoea, maana alikuwa anatufululizia viwalo, wenyewe tulikoma
Wasio vaa chu..pi nahisi wanaongezeka Sasa....
Umenichekesha basi maana mimi naandika uzi huu nipo katika harusi ya kiislamu hapa kuna vijambo naangalia nacheka mpaka mbavu sina!mtu kama gunia la mchele kavaa nguo nyuma ya matak o yake imepwaya yani basi tu!
hata wakikuboa...haijawahusu maana hawakufanyii wewe
niache kuvaa begi langu kama tenga kisa wewe?!
Ulinsaidia kulipa?
ha haaa, usikute kaazima hilo gauni...... utajijuUmenichekesha basi maana mimi naandika uzi huu nipo katika harusi ya kiislamu hapa kuna vijambo naangalia nacheka mpaka mbavu sina!mtu kama gunia la mchele kavaa nguo nyuma ya matak o yake imepwaya yani basi tu!
kwani ni lazima kuvaa kila designer anachotengeneza? ni uzuzu tu....
kuna mdada mmoja enzi hizooooooo alikuwa na shepu yake balaa......
siku moja akavaa nguo kituko yaani unashindwa kuvumilia kucheka... mwenyewe nguo kaliiiii ila sasa hiyo shape iliyovaa hiyo nguo ni balaa
mwenyewe akawa anasema hawezi pitwa na fashion sababu hana shape nzuri, ni lini sasa atapata hiyo shape nzuri?
kwa hiyo kaamua kujilipua tu....
mbona baada ya miezi tulimzoea, maana alikuwa anatufululizia viwalo, wenyewe tulikoma
ha haaa, hata mimi sijui, lol!Bi dada excuse nna swali la msingi "shepu balaa" ikojeikoje?
Na swali dogo la nyongeza - hata wanaume wapo wa "shepu balaa?"
Katika mavazi nakusapoti hasa kwa wanaovaa mavazi ya usiku wakati wa mchana.
Ila kwenye mikoba na pochi utakuwa umetushika pabaya aiseeee.......
Wapi Madame B, Paloma, ram, snowhite, King'asti, marejesho, Zion Daughter, mwaJ, Passion Lady, ladyfurahia na wadada wooote... kuna mtu anatuchokonoa asubuhi asubuhi.....
Akina dada napenda mniwie radhi ila hii tabia yenu ya kuvamia fashion inanikera binafsi mimi nitataja baadhi yavitu ambavyo mmekuwa mnashobokea bila yakujigundua kuwa mnadharilishwa bila ya kujigundua!
* Haiwezekani unaletewa mkoba kama tenga mkubwaa na wewe bila kujijua unaenda kuununua hiyo ni akili isiyojinyumbulisha!
* Unanua kapochi kadogo hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kubeba eti fashioni unasema kipima joto!
* Sasa imekuja fashion inanikera mtu kavaa viatu hata kutembea ina mlazimu atembee kama punda hawezi kukunja goti!
* Sasa mbaya zaidi wameleta nguo zinaitwa skin jeans jamani kufuru mtu ajijui anavaa ajijui maumbile yake yakoje!anaitinga mungu wangu itakubidi uangalie pembeni!
* Sasa wamekuja na style eti hawataki chupi! Mwee!