Wadada mnaotokea Muleba na Karagwe mnakuja kutafuta maisha Dar hebu badilikeni

Unakataa nini sasa..?!

Mambo ya uvuvi haramu si ya juzijuzi tu hapa...

Wahaya hapa Dar wako kwenye hiyo biashara kitambo sana kabla hata Nyerere hajang'atuka Urais kumuachia Mzee Mwinyi!
Mbona mama yako sio mhaya lakini yumo?
 
Suala la tabia halina kabila, ila kwa watu wa Dar es salaam hasa maeneo ya uswahilini tangu miaka ya sabini hasa baada ya vita ya Kagera, walihusisha biashara ya kujiuza (Siyo umalaya) na watu wa Kagera. Ingawa inawezekana isiwe kweli lakini mimi nakumbuka zamani hizo maeneo ya Beston Pale Manzese na hata Manzese Msufini (Siku hizi darajani) maeneo hayo biashara hiyo ilifanywa sana na wanawake toka Kagera.

Ule msemo wa watu wa Dar ukimuuliza "habari ya kazi" akakuuliza "kazi kwani mimi mhaya" ulitokana na mambo hayo ya biashara ya kujiuza kina dada enzi hizo za miaka ya sabini na themanini. Mimi mwenyewe kwetu tumeoa wahaya kwa ivo haimaanishi kusema kwamba wahaya ni makahaba. Tabia ni suala la watu binafsi na wala si suala la kabila.
 
We Manofu acha uongo wako mimi nimekulia Muleba na kusomea Muleba hadi o-level hayo mambo ya kwamba 60% ya wilaya ya Muleba ni visiwa ni uongo.Kuna visiwa vya Bumbire,mrumo,kerebe,goziba,rubiri na kinagi na hivyo visiwa vina watu wachache ukilinganisha na nchi kavu.
Ni kweli maji yamechukua sehemu kubwa ya Muleba lakini visiwa vilivyopo ni vichache kwa mfano kutoka Bumbire hadi goziba ni mwendo wa zaidi ya masaa nane lakini unapita visiwa vichache visivyopungungua 5 na ukikosea target unapotelea Uganda entebe(imewahi kutokea kwa mapadri).
Nimekulia kisiwani nimesoma Rubya hadi Nshamba napajua so naandika kitu ninachokijua vizuri.
cc
britanicca
mgambilwa ni muntu
Yodoki II
 
Tena mleta mada nikufahamishe kwa upande wa muleba nchi kavu kuanzia kata tarafa kimwani, nshamba, kamachumu, uzito, na muleba watoto wakike asilimia 65 niwasomi wa viwangi vizuri na wenye kazi zao wazazi wa muleba wanazingatia sana elimu kwa watoto wao. Na tabia ya wahaya ziwa lipo kwao ila kwakuwa ni waoga wakazi ngumungumu wala sio wavuvi badala yake shughuli za uvuvi na umalaya uko visiwani kwa asilimia 85 kuanzia visiwa vya mbumbire,goziba, mazinga, kerebe na ikuza zinafanywa na makabira mengine kabisa.

Nikupe mfano mwingine ukipita chuo cha CBE pale dodoma ukakuta wadada wanajiuza kipindi cha bunge unaweza sema wanafunzi wa chuo ndo wanajiuza kumbe watu wametoka zao dar na arusha.
Kiongozi swala la watoto wa kike kutokea muleba kusema asilimia 65 sina uhakika kama ni kweli lakini kwa utafiti nilioufanya lakini ukweli kwamba asilimia kubwa wadada na wamama wanaotoka maeneo haya wanaokuja kutafuta maisha mjini dar wengi wanajingiza katika biashara hii...

Kuna bibi mmoja nilikuwa naongea nae akawa ananielezea ya kwamba haya mambo kwa watu wanaotokea muleba ni kawaida tena akaenda mbali zaidi hizi kazi huwa wanarithishana hadi kwa wajukuu zao yaani akiona umri umeenda mambo magumu halipi kama ilivyokuwa zamani basi atafuta either mtoto wake au mjukuu wake au ndugu yake anamkabidhi chumba yeye anarudi kijijini kupumzika au anasubilia deiwaka amuweke mtu anayemfahamu katika chumba ....
 
Unakataa nini sasa..?!

Mambo ya uvuvi haramu si ya juzijuzi tu hapa...

Wahaya hapa Dar wako kwenye hiyo biashara kitambo sana kabla hata Nyerere hajang'atuka Urais kumuachia Mzee Mwinyi!
Kiongozi sina uhakika sana kama wale wote waliopo pale ni wahaya japo wanazungumza kihaya ila kuna mtu alinidokezeaaa ya kwambaa.......

Asilimia 80 ya wanaofanya ile biashara wengi ni asili yao wageni kutokea uganda, rwanda burundi,congo na wengi wao wamekulia na kuzaliwa maeneo hayo na wanazungumza kihaya ila ukiwachimbua kiundani inavyosemekana wengi ni wageni hili swala sinaga uhakika nalo ndo nilivyosikia toka kwa mtu mmoja alikuwa kanidokeza
 
Nafkl ata gigy money atakuwa anatokea mbunda au kishanda.
Mzee baba acha izo bana kishanda tena!
Pande za rwamishenyi,mabila,ihunga nyele,kabulala,kashonge,kanywisa,mabira daah hiyo mitaa nimeimis kinoma,wahaya wakarim kweli kwenye mambo ya nyapu wala hawanaga uchoyo.
 
Kiukweli katika maisha yangu sijawahi kufika karagwe na muleba lakini pia bado sijafahamu mazingira yako vipi lakini nadhani wenyeji wangu mtanisaidia.....

Kuna utafiti nimeufanya kuhusu hawa dada zetu wanaotokea wilaya ya karagwe na muleba mkoani kagera wanaokuja kutafuta maisha mjini dar es salaam japo sio wote wako hivi ila asilimia kubwa wako hivyoo na hapa nazungumzia hii tabia ya kibiashara kukaaa na vistuli njee ya chumba maeneo ya vichochoroni anachoishi au anachokaa huku mlango kuingilia ndani upo waziii......

Katika utafiti nilioufanya wadada wengi ambao wapo pale mwananyamala hospitali,buguruni sokoni,temeke hodpitali, kigamboni,manzese darajani,uwanja fisi, mbagala kwa masakuu, ukiwauliza wapi mnatokea wanakwambia wengi wao ni muleba na karagwe ifike hatua dada zetu mmbadilike muachane na hayo mambo naishia hapo kwanza hiii biashara haiko powa tafuteni biashara nyingine mbona flesh tuu
Huelewi maana ya Kargwe na Muleba.Ni Katerero na Ngoma .Amka Kijana si wote wa huko ila ndo hivo
 
We Manofu acha uongo wako mimi nimekulia Muleba na kusomea Muleba hadi o-level hayo mambo ya kwamba 60% ya wilaya ya Muleba ni visiwa ni uongo.Kuna visiwa vya Bumbire,mrumo,kerebe,goziba,rubiri na kinagi na hivyo visiwa vina watu wachache ukilinganisha na nchi kavu.
Ni kweli maji yamechukua sehemu kubwa ya Muleba lakini visiwa vilivyopo ni vichache kwa mfano kutoka Bumbire hadi goziba ni mwendo wa zaidi ya masaa nane lakini unapita visiwa vichache visivyopungungua 5 na ukikosea target unapotelea Uganda entebe(imewahi kutokea kwa mapadri).
Nimekulia kisiwani nimesoma Rubya hadi Nshamba napajua so naandika kitu ninachokijua vizuri.
cc
britanicca
mgambilwa ni muntu
Yodoki II
Mzee baba umesomea rubya seminary ama Humura kwa Mr Mafigi!? Uko sahihi kabisa ..nmeishi visiwani ,,kule population ni ndogo mno ..niliwahii ishi rushonga,iyumbo,gozba,kinagi na iroba,,
 
Mleta mada ni mshenzi sana
Sio mshenzi.. anaongea ukweli... Tandika sokoni kuna mtaa wa wahaya.. Yaani vyumba Kama 200 vinaangaliana.. vyote vya wadada utawakuta wapo tu nje mlango upo wazi... Nilifanyia research hayo maeneo yaani unaingia ndani na vikaratasi vyako vya maswali yeye anataka upige mzigo anajua mteja dadadeki
 
Unakataa nini sasa..?!

Mambo ya uvuvi haramu si ya juzijuzi tu hapa...

Wahaya hapa Dar wako kwenye hiyo biashara kitambo sana kabla hata Nyerere hajang'atuka Urais kumuachia Mzee Mwinyi!
Acheni kubaguana wahaya biashara hii inafanywa na wahaya kwa ujumla. Pale;
1. Tandika Sokoni,
2. Temeke Sudan,
3. Chang'ombe Usalama,
4. Sokota,
5. CCM kata 14,
6. Buguruni sokoni
7. Mwananyamala Hospital,
8. Msasani Macho,
9. Mbagala kwa Masakuu,
10. Manzese mferejini,
11. Uwanja wa Fisi,
12. Kigamboni Uwanjani kwa Saddam.
13. Kwembe.
 
Hiyo, ni desturi na itaendelea kuwa hivyo sio kwa kipindi kifupi kijacho.
 
Kiongozi sina uhakika sana kama wale wote waliopo pale ni wahaya japo wanazungumza kihaya ila kuna mtu alinidokezeaaa ya kwambaa.......

Asilimia 80 ya wanaofanya ile biashara wengi ni asili yao wageni kutokea uganda, rwanda burundi,congo na wengi wao wamekulia na kuzaliwa maeneo hayo na wanazungumza kihaya ila ukiwachimbua kiundani inavyosemekana wengi ni wageni hili swala sinaga uhakika nalo ndo nilivyosikia toka kwa mtu mmoja alikuwa kanidokeza
Nenda pale"kwa wahaya" utaelewa vzr.
 
Sio mshenzi.. anaongea ukweli... Tandika sokoni kuna mtaa wa wahaya.. Yaani vyumba Kama 200 vinaangaliana.. vyote vya wadada utawakuta wapo tu nje mlango upo wazi... Nilifanyia research hayo maeneo yaani unaingia ndani na vikaratasi vyako vya maswali yeye anataka upige mzigo anajua mteja dadadeki

Nani aliyekuhakikishia kuwa hao wote ni wahaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom