Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,622
- 2,753
- Thread starter
-
- #41
Mi cjasema ivyo,, afu kama nilichopost ni ushamba basi na ww uli comment ni mshamba²²Sio ajabu tu ni ushamba kwa akili yako unajua kuja kuweka Jina na sura ya huyo msichana jamii forum ataacha kupiga vizinga.
Unataka nikushawishi unichune na we?Na mhuni kweli angalia Avatar yake kifua kibovu hata ushawishi hakina.
Sio ujasema, hujaandika hivyo au ulituma voice utapigwa visinga kama kawaida maana hujielewi.Mi cjasema ivyo,, afu kama nilichopost ni ushamba basi na ww uli comment ni mshamba²²
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan mkuu hiyo post inahusu nini?? Nieleweshe ili nipate cha kupigia porojo [emoji848][emoji848]Jamii ishanipa maujanja saiv vidada vilivyokuaga vinanichuna fb wanakutana na cha moto
Kwel hii ni shuleView attachment 1016654
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikitaka kabamia chako wala haina haja ya kukuchuna yaani mimi ndio nitakupa wewe pesa ila ujue vizuri kukatumia hako kananii.
Hii vizinga wanapigagwa wasiojilewa kumbe!!!!Sio ujasema, hujaandika hivyo au ulituma voice utapigwa visinga kama kawaida maana hujielewi.
Inahusu porojo tuKwan mkuu hiyo post inahusu nini?? Nieleweshe ili nipate cha kupigia porojo [emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes
Kabamia umekaona??Mimi nikitaka kabamia chako wala haina haja ya kukuchuna yaani mimi ndio nitakupa wewe pesa ila ujue vizuri kukatumia hako kananii.
safi sana dogo nenda kwenye bar yoyote and tell them to bring u two bottles of beers and two females,, talaka (bili ) wanipe mimi ntalipa..Jamii ishanipa maujanja saiv vidada vilivyokuaga vinanichuna fb wanakutana na cha moto
Kwel hii ni shuleView attachment 1016654
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamojasafi sana dogo nenda kwenye bar yoyote and tell them to bring u two bottles of beers and two females,, talaka (bili ) wanipe mimi ntalipa..
We Mani kakwambia uangalie picha na jina?Sio ajabu tu ni ushamba kwa akili yako unajua kuja kuweka Jina na sura ya huyo msichana jamii forum ataacha kupiga vizinga.
Dawa ya vilemutuz kumbe unavyo mkuu!!!Mimi nikitaka kabamia chako wala haina haja ya kukuchuna yaani mimi ndio nitakupa wewe pesa ila ujue vizuri kukatumia hako kananii.
Sijakuelewa mkuuDawa ya vilemutuz kumbe unavyo mkuu!!!
🤣🤣🤣Raja tayari umebadilisha Avatar baada ya kukutania, mkuu ule ni utani tu hebu iludishe tafadhali 😀😀😀
Utani wa karibu na kweli huo ngoja niende gym nakuja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Raja tayari umebadilisha Avatar baada ya kukutania, mkuu ule ni utani tu hebu iludishe tafadhali [emoji3][emoji3][emoji3]
Nachangamsha mada mkuu 😀😀