Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,626
- 2,757
hujakutana na mjuaji, mbona unatoboka hata bila kujiulza x2 aseee, kuna wadada wanajiliza na vi sauti vyao wee acha tuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
jinsi mwandiko wako ulivyo inaonyesha umetumia FB mda mrefu sana!!?
jinsi mwandiko wako ulivyo inaonyesha umetumia FB mda mrefu sana!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
badili mwandiko, maana nakuona bado una u FB, saiz upo JF badilisha muonekano wa maandishi yako!!
Haha bro niliamua tu kunogesha kwa kuandika fesibuku but naweza andika vyovyote unavyotaka but acha niandike ninavyotakabadili mwandiko, maana nakuona bado una u FB, saiz upo JF badilisha muonekano wa maandishi yako!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani maandishi ya JF muonekano wake ukoje mkuu [emoji4][emoji4][emoji4]badili mwandiko, maana nakuona bado una u FB, saiz upo JF badilisha muonekano wa maandishi yako!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikawaje mkuuKuna m1 alinambia live live,we kya mbahili lakini "utakaa tuu"
Kukaa tuu maana yake lazima anichune yan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani maandishi ya JF muonekano wake ukoje mkuu [emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekutuma ivo et?Acha ubahili!!!! Dunia ya sasa hivi kama hautoboki mfukoni utaendelea waita watoto wazuri wote mashemeji
Ila ka eliza kazur zuri.....