Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Kwa hiyo mkuu ww unaamini ukiwa na cash watoto wazuri lazima uwalambe mvinyoFor girls,, ukitaka kuzungushwa wee tongoza ,,ukitaka kula mapema mwaga hela.
For. Ladies,, 50-50
For a wife ,,, mfanye akupende .
Mi domo cement kabisa.. Nije pmAfadhali nikutane na domo zege mitamuelewa kuliko mr misifa kujisifu
Yan mwanaume akiwa domo zege ni shida sana. Unakuta mdada kampenda mkaka na kaonyesha dalili zote,lakini kutokana na mkaka kuwa domo zege anashindwa kurusha ndoano.
Hii ni sababu mojawapo ya wakaka kuishia kupiga punyeto. Hawa dada zetu wanapenda kutongozwa, akikukatalia mmoja mwingine atakukubali.
Wadada hembu fungukeni madomo zege mliokutana nao na mlifanyaje mkawapata?
mi mzima hofu kwakoHela inasaidia kutongoza
Mmmh kuliko mwenye pesaAfadhali nikutane na domo zege nitamuelewa kuliko mr misifa kujisifu
Wenye pesa hawaongei mengi matendo yao yanaongeaMmmh kuliko mwenye pesa