Wadada MMU karibu tufurahi na Neplily

Wadada MMU karibu tufurahi na Neplily

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
5,980
Reaction score
3,115
Wapendwa wa dada karibu tutumie Neplily.
Neplily ni pad zilizotengenezwa na cotton material iliyo laini na uwezo wa hali ya juu wa kufyonza uchafu kwa haraka, imewekwa anion plate ambayo imewekwa katikati ya pamba nyepesi hivo anion plate ikilowa hufyonza majimaji ukeni.
  • Inaruhusu upepo upenye ili kuondoa joto na unyevunyevu na kusababisha bakteria kukosa sehemu za kuotea.
  • Kinga dhidi ya ugonjwa sugu wa UTIs.
  • Ni tiba kwa ugonjwa wa bawasili
  • Ni tiba kwa magonjwa ya fungus sugu za ukeni na sehemu nyingine za mwili.
  • Inaweka sawa mfumo wa hormones hasa baada ya kujifungua
  • Inasaidia kuongeza utamu wa tendo la ndoa.
  • Inaondoa maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.
  • Inarekebisha mzunguko wa hedhi vizuri.

Zipo za usiku, mchana na za kila siku.

1442429552865.jpg 1442429472797.jpg 1442429544833.jpg 1442429487231.jpg

Bei rejareja TSH 4000, jumla kuanzia 3 ni 3500. Kwa wale wa Dar anaechukua kuanzia 3 unaletewa ulipo.

Mwenye uhitaji ani pm tafadhali.

Wakaka pia mnaweza wachulia wenza wenu.

Moderator naomba usitoe huu uzi maana wahusika wake wapo huku ZAIDI.
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda ila bei yake sasa....ngoja nitafute mfadhili
 
We Khantwe acha ubahili bhana, toa pesa tumia kilicho bora bhana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom