T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,099
lkn mwish wa siku ndo wanatutafuta kututongoza jamnAh hawa waja wasipotutia midomoni hawaridhiki kutwa twasemwa wanawake kila kasoro tunazo sie wanaboa kwa kweli
Hii ni kweli jamani,unakuta mwanamke,binti,msichana kwapa lake linatoa harufu kweli halafu kaweka kishoka sasa kwenye gari,,,,,uwiiiiiiiiiiiiii!!!mdomo unanuka,kwapa linanuka,nywele zinanuka,papuchi ndo usisema!!!ni shiiiiiida kwa kweli!!
Unakuta mdada kavaa kitop halafu kwapa nje,inarusha stimu kwapa yenyewe imekomaa kwa kukwanguliwa kwa wembe kwapa nyeusiii....inaboa sana wengine tuna let muonekano wa kwapa na papuchi zenu.
Binti kwapa mda wote imeloa jasho inatema mbaya tena imeotea utoko utoko daaah hata mzuka wa kupiga mzigo unapotea hebu kuweni wasafi na muwe mnazifichaga hizo kwapa.wenyewe mnaona usasa na hizo top zen kuacha mikwapa wazi mnakera sana.
Watu8 jamaa upo kweli JF long time no see you bro maana wiki tu kwa uhai wa binadamu ni kubwa sana....vinginevyo nakusabahi tu mkuu👋Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...
Wadada hebu muwe mnayaficha basi...au sijui ule usugu na ule ukoko kama uchafu wa vocha husababishwa na yale mapochi huwa mnayakumbatia kutwa....!!!
Unamkuta mdada kavaa kitopu mkono wa kulia kashika bomba kwenye daladala, misharubu ya huko imejichomoza kama mimeno ya mamba...halafu mkono mwingine kashikilia simu anachonga umbea na shosti...hiyo harufu yake salaleeee
Unataka topic moja iongelee kila kitu? Hii ni mahususi kwa hili tu, ukitaka hilo nawe anzisha yako, wacha kukwepesha hoja.Wanaume wa aina hiyo hawapo????unapoongelea swala la usafi jaribu kuBalance mambo na sio kuwa bias sawa eeeehhhh????
Bora aliyekomaa kwa wembe.....wapo wanaume wakivaa vest zao fulu kichaka tena cha njano waweza sema mvii si mvii rangi ya shabaaa lol!!!!!
Hahaha umeongea kwa hisia balaa nimecheka kwenye neno masharubu yamechomoza kama meno ya mamba Watu8Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...
Wadada hebu muwe mnayaficha basi...au sijui ule usugu na ule ukoko kama uchafu wa vocha husababishwa na yale mapochi huwa mnayakumbatia kutwa....!!!
Unamkuta mdada kavaa kitopu mkono wa kulia kashika bomba kwenye daladala, misharubu ya huko imejichomoza kama mimeno ya mamba...halafu mkono mwingine kashikilia simu anachonga umbea na shosti...hiyo harufu yake salaleeee
Pamoja sana mkuuSalamu kwako pia mkuu bila shaka upo vyema
Pamoja sana mkuuSalamu kwako pia mkuu bila shaka upo vyema