Mwataka tubalansi kwani siye twauza nyama buchani hapa...
Wanaume wanajiachia wazi kwa kuwa wana misuli ya kuonyesha...
Sasa nyie mwajiacha wazi hiyo misuli yenyewe iko wapi kama si mwatuonyesha misharubu tu ile kama kibrashi cha chachandu...eboh!!
Ni bora hao wanawake wanaokwangua na wembe unakuta janaume halinyoi kabisaaa na ni wengi mno
Daddy, hebu punguza UKALI WA MANENO ujue wanao tuko humu pia alaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Kaka hapo mzigo ndio hauliki tena...yaani utapiga chafya hadi lile kamasi la mwisho likutoke....phweeee!!!
Teh teh teh watakomaje mwaka huu.
Mkimaliza semeni tuwape maji mshushie!!!!!!
Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...
Wadada hebu muwe mnayaficha basi...au sijui ule usugu na ule ukoko kama uchafu wa vocha husababishwa na yale mapochi huwa mnayakumbatia kutwa....!!!
Unamkuta mdada kavaa kitopu mkono wa kulia kashika bomba kwenye daladala, misharubu ya huko imejichomoza kama mimeno ya mamba...halafu mkono mwingine kashikilia simu anachonga umbea na shosti...hiyo harufu yake salaleeee
jf siku hizi??
Wadada wenzangu samahanini lkn kwa hili naomba nimsapot mtoa mada. Ukweli kwenye hili wengi wanashindwa. Wadada wanahusudu kuvaa tu lkn miili yao kuitunza wanasahau sana. Hili mm nimeliona kwa wanawake wenzangu, kwapa nyeusi, na zimefanya marinda/makunyanzi, kuishia kunyoa tu sio solution, harufu nayo pia lazima ifanyiwe kazi, kama ni maradhi tiba si zipo? Na tuache kutumia deodorant za ajabu mana wengine huona wanakata harufu kumbe hujipaka madude ya kukirihisha wenzao. Na kwenye deodorant spray ni nzuri zaidi kuliko rolls au sticky. Spray zinasaidia kuweka dry muda mrefu. Dada kama una uwezo fanya waxing ya Kwapa kuliko kutumia wembe au shaving mashine. Waxing inasaidia kuepusha weusi na vinywele vinachelewa kuota. Al udi na udi nao vinasidia kukufanya uwe unanukia vizuri full time. Mwanamke kweli ukiwa safi inapendeza zaidi, hao wanaume sisi ndo tuwasaidie kuwa wasafi.

Kwapa lina mwaka mzima halijui harufu ya duoderant,mtu unapata wapi confiedence
za kushika bomba la daladala
Unakuta mdada kavaa kitop halafu kwapa nje,inarusha stimu kwapa yenyewe imekomaa kwa kukwanguliwa kwa wembe kwapa nyeusiii....inaboa sana wengine tuna let muonekano wa kwapa na papuchi zenu.
Binti kwapa mda wote imeloa jasho inatema mbaya tena imeotea utoko utoko daaah hata mzuka wa kupiga mzigo unapotea hebu kuweni wasafi na muwe mnazifichaga hizo kwapa.wenyewe mnaona usasa na hizo top zen kuacha mikwapa wazi mnakera sana.
Khaaaa.
Aisee dada zangu... leo mmebebeshwa. Jamani hayo maneno! Heeee!
Ouchhh watu8 upo poa kabisaa??Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...