Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Wadada hebu leo naomba mnipe ufafanuzi kuhusu hii kauli yenu ya Kusema kuwa mmechezewa.
Hivi kwani mkigegendwa kwenu ndo ni kuchezewa.??
Kwani hiyo kitu imeumbwa kwa kazi gani??
Inamaana nyinyi hamfurahii tendo??
Heti emenichezea tu kamaliza haja zake kaondoka/kaniterekeza.
Wanaume wabaya.!!
Kwani alikubaka au na we pia ulikuwa na haja na hilo tendo ndo mana umekubali???
Sasa kwanini useme umechezewa wakati na we uli enjoy vya kutosha tu tena hela ulipata.
Mbona mnakuwa wanafiki kiasi hiki?? Inamaana kila atakae gegeda kwako ndo akuoe???
Hebu leteni majibu ya kueleweka hapa.