Hautaki kupata kumbukumbu!.Nfyuuuuuuu azae nan?
A na B yaweza kua majawabuAu ndo njia raisi zakupa ela kwa mwaume baili.....!?
Acha uhuni mkuuSiku hizi ya wadada wengi(sio wote) sana wanatamani kuzaa kuliko ndoa, tatizo nini mpaka mshatuambikiza wanaume stlye zakuela watoto nje ya ndoa kuongezeka kwa kasi. Mnadate miezi mwili tu unasikia "bby naomba nizae na wewe tumleewote mtoto"
Hapo ndo tatizo lilipo mkuuFuleshi kwa mazingira ya kujiiba tatizo ukishafanikiwa ukiwa na ndoa maisha yapo pouwa mtoto analetwa hom(mkeo mkali) au alelewa na baba mwingine ina kuwa sio fuleshiii[emoji69] [emoji69]