Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?

IMG_20190608_222317.jpeg
 
Ndio maana nakwambia umepata mume mpole, wenzio tukitoka ofisini saa kumi na nusu tunahesabiwa muda wa kufika nyumbani kuangalia watoto, kama jam ni kubwa basi saa kumi na moja na nusu uwe nyumbani vinhinevyo kama kuna emergency lazima taarifa inayoeleweka iwepo...halafu pia mi mwenyewe nkiwaza huo muda wa kukaa kUsafishwa kucha na vifaa ambavyo kila mtu anasafishwa navyo, havichemshwi wala haviko katika hali usafi naona bora niwahi nikacheze na wanangu lol
Nimeipenda hii.
 
Ukitaka kutafuna malaya wa mjini fanya kazi ya kupaka rangi/kusuka rasta/ shonea mawigi/bodaboda/uber
Wapenda vitonga utawakataa wewe
 
Ndio maana nakwambia umepata mume mpole, wenzio tukitoka ofisini saa kumi na nusu tunahesabiwa muda wa kufika nyumbani kuangalia watoto, kama jam ni kubwa basi saa kumi na moja na nusu uwe nyumbani vinhinevyo kama kuna emergency lazima taarifa inayoeleweka iwepo...halafu pia mi mwenyewe nkiwaza huo muda wa kukaa kUsafishwa kucha na vifaa ambavyo kila mtu anasafishwa navyo, havichemshwi wala haviko katika hali usafi naona bora niwahi nikacheze na wanangu lol
Nayatamani sana haya maisha yako
 
Makoroboiii, ngoja nami niende.

Mtoa mada hewa jamani, we hili joto hulihisi?
 
Kwanza kwa nini ushindwe kujisafisha kucha zako na miguu yako mwenyewe, Mwanamke ambae anashindwa kusafisha kucha zake na miguu ni mchafu maana hata papuchi sidhani kama inasafishwa

Mwanamke nunua vufaa vyako usafishe kucha nyumbani kwako na umsafishe mumeo pia eboo

Ila mna waumr wapilr...eti namuaga kabisa mume naenda kusafishwa kucha...hahaha
Mwanamke kwenda kusafishwa kucha ni upotevu wa muda na hela..
Huu ujinga sijui km ntakuja kuufanya,ngoja labda time will tell
 
Habarini wakuu.......
Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?.......
Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa bonge ya mini ,mapaja yote yako wazi alafu kakaa sehemu ya wazi kila anayepita anamuona ......
Siyo poa! Tubadilike
Hahaha..mkuu hapo makoroboi ni noma...nimepita sana hapo wadada na wamama wanajiachia sana kama wapo sebureni kwao....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom