Wadada hivi mnaenjoy kubambiwa kwenye mwendokasi au?

My mmmh!!
 

Mzee wa ushirombo katika ubora wako
.

Nilipoona tu jina lako ikabidi nisome comment yako between the line mara nikakutana na USHIROMBO nikasema yes huyu ndo mtu wa home
 
Dah punguza wivu ndugu yangu.

Hahahaha sinaga wivu kabisa ila nimewakumbusha maana mkiendelea uzi huu mtauandika mpaka ukurasa wa 50... __utakuwa ni miss chagga na B40

HAPA NILIPO NIMEU SUBSCRIBE SASA MKIANZISHA MAMBO MAMBO YENU BASI MNANITOA KWENYE CONSISTRATION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…