Kwa kuhudumia na mimi najitahidi aisee... in fact, hiyo ndio hobbie yangu! Short and clear, mkono mtupu haulambwi
Hello michelle,
Kuhonga na kutoa katika hali ya kawaida in essence tendo ni moja..shift of ownership kutoka kwa mwanamme kwenda kwa mwanamke done by mwanamme. utofauti unakuja kutokana na kwa nini mwanamme katoa.
Mwanamme anapotoa kwa mapenzi yake akiwa na lengo la kumfurahisha mpenzi wake akiwa hana presha hapo katoa kikawaida
Lakini anapotoa aidha kwa shinikizo la kimapenzi kutoka kwa mpenzi wake au anapotoa huku akijua kuwa kutoa ndo kitu pekee kitakachomfanya msichana aendelee kukaa kwake hapo ndo tuna kuja na term "kuhonga"
😱😱😱😱😱 le mtegoz....
Wanaume jamani mnalialia kugharamia. Kama huwezi acha hujalazimishwa.
Yanini unatoa huku unaumia roho?
Wanaume jamani mnalialia kugharamia. Kama huwezi acha hujalazimishwa.
Yanini unatoa huku unaumia roho?