Wadada hii ni kweli?

Wadada hii ni kweli?

kipusy

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
639
Reaction score
323
Nimeitoa fecebook,

Wakaka acheni ujinga,ukitaka msichana wa peke yako mgharamia nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume,usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa,kuna wanawake natural hawawezi kuomba,ila anakua anataka ujiongeze.

Sasa kama wewe niwale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy pls ukiwekanicheki" umekwisha,anakueleza shida zakeunasema "mpenzi vumilia nakuombea upate kazi" kaka umeisha,Kwanza ujue ulivokata simu umefatiwa na bonge la msonyo ka sio tusi,yani wewe kama ni wale wa baby mwezi huu mambo yangu hayako sawa,nakuapia unagongewa.

Unamuona msichana wako kasuka,kapendeza na hana kazi umekazana beb umependeza,we ujue mume mwenzio kaweka nguvu,so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana,service inakua kwa anayehudumia.Hakuna msichana wa siku hizi anayetaka kuambiwa nakupenda jumapili mpaka jumapili we mhonge tu uone heshima.

 
Yaani kipusy,umesema kitu cha maana sana sikuhizi bila kuhonga humpati hata mtoto wa under eighteen,ila kinadada wapunguze basi hata gharama kuna wengine mpaka umpate umekula mtaji sasa nasisi 2taanza kudai haki sawa.
 
hahahaha :thumbup::thumbup: ndio hivyo milioni milioni.... jina lako tu linasema wewe ni muhongaji mzuri
 
Yaani kipusy,umesema kitu cha maana sana sikuhizi bila kuhonga humpati hata mtoto wa under eighteen,ila kinadada wapunguze basi hata gharama kuna wengine mpaka umpate umekula mtaji sasa nasisi 2taanza kudai haki sawa.

Unaonekana Bingwa Wa Kuhonga Kwa Sana Tu
 
Kwani Kuhonga Kukoje Hebu Tupeane Darasa Mkuu

Mi mwenyewe hushindwa kuelewa tofauti ya vitu ambavyo kama wapenzi mnapeana kwa hiyari na kuhongwa.

Kinachotofautisha kukupa kama mtu anayempenda kuwa kuhongwa ni nini?? Dhamira? Ukubwa wa anachokupa au nini hasa?

Kwanini iwe kuhonga kama umempa mtu kitu kwa mapenzi yako, anakihitaji au labda kitampendeza? Mbona linakuwa tena jambo baya sasa? So,tuseme kuna watu wanasubiri kuhongwa na wapenzi wao??? Eeeh,tabu sana.
 
hakuna kitu kuhonga kwenye mapenzi ni kuhudumia ninavyojua kuhonga ni kutoa rudhwa! mbona wake zetu tunawapa sana hela je tunawahonga? the way unavyohudumia mkeo ni sawa na unavyohudumia mchepuko ila kwa mchepuko unadai eti unahonga kwa mke au
mpenzi unahudumia
 
Kwa kuhudumia na mimi najitahidi aisee... in fact, hiyo ndio hobbie yangu! Short and clear, mkono mtupu haulambwi
 
Mi mwenyewe hushindwa kuelewa tofauti ya vitu ambavyo kama wapenzi mnapeana kwa hiyari na kuhongwa.

Kinachotofautisha kukupa kama mtu anayempenda kuwa kuhongwa ni nini?? Dhamira? Ukubwa wa anachokupa au nini hasa?

Kwanini iwe kuhonga kama umempa mtu kitu kwa mapenzi yako, anakihitaji au labda kitampendeza? Mbona linakuwa tena jambo baya sasa? So,tuseme kuna watu wanasubiri kuhongwa na wapenzi wao??? Eeeh,tabu sana.

Hello michelle,

Kuhonga na kutoa katika hali ya kawaida in essence tendo ni moja..shift of ownership kutoka kwa mwanamme kwenda kwa mwanamke done by mwanamme. utofauti unakuja kutokana na kwa nini mwanamme katoa.

Mwanamme anapotoa kwa mapenzi yake akiwa na lengo la kumfurahisha mpenzi wake akiwa hana presha hapo katoa kikawaida

Lakini anapotoa aidha kwa shinikizo la kimapenzi kutoka kwa mpenzi wake au anapotoa huku akijua kuwa kutoa ndo kitu pekee kitakachomfanya msichana aendelee kukaa kwake hapo ndo tuna kuja na term "kuhonga"
 
Wakaka acheni ujinga,ukitaka dem wa peke yako mgharamia nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume,usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa,kuna wanawake natural hawawezi kuomba,ila anakua anataka ujiongeze,sasa kama ww niwale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy pls ukiwekanicheki" umekwisha,anakueleza shida zakeunasema "mpnz vumilia nakuombea upatekazi" kaka umeisha,1 ujue ulivokata simu umefatiwa na bonge la msonyo ka sio tusi,yani ww ka ni wale wa baby mwezi huu mambo yangu hayako sawa,nakuapia unagongewa,unamuona dem wako kasuka,kapendeza na hana kazi umekazana byb umependeza,we ---- ujue mume mwenzio kaweka nguvu.so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana,service inakua kwa anayehudumia..hakuna dem wa siku hizi anayetaka kuambiwa nakupenda jumapili mpaka jumapili we mhonge tu uone heshima.foward kwa wakaka wote,inauma ila ndo ukweli.
-
ETI WADADA HII NI YA KWELI JAMANI?
Read more at Websta - the best Instagram web viewer online (Webstagram)

Yeah, you are a real pussy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom