Wadada hawajui kula na kipofu

Ni ufala tu na aina ya ukatili wa kijinsia ambao huwa una matokeo mabaya upande wa mwanamke.

Hawa mabinti ambao video zao za utupu huwa zinavujishwa mitandaoni ukitazama wengi wao chanzo ni tabia za kucheza na akili ya mwanaume ambaye ameshakolea kwake.

Kwann usimwambie kwa lugha rafiki tena ya kujali kuwa unasababu zako za kushindwa kuwa nae. Sio kumkataa kwa nguvu hadi anapatwa na maumivu ya hisia au kumfanyia matukio ya kufedhesha na kudhurumu nafsi kama kutumia pesa yake ili aone gharama kuwa na wewe aumie ili wewe uapate faida gani sasa ?

Wanawake mpo oriented kujifikiria binafsi na mnasahau kuwa na wanaume nao ni binadamu kama ninyi. Sasa kama ni hivyo mbona huwa mnakasirika pale wanaume wanapowafanyia matukio ya udhalilishaji wakati nyie hamkuona hiyana wala chembe ya aibu kuwafanyia ubaya wao?!
 
Kimsingi mwanaume akiwa na wewe kupata ashki za mwili ni jambo la kawaida. Lakini mwanamke anaweza kukuomba pesa hata wakati ambao hana shida ya kuomba pesa yaani ameona tu upenyo wa kukuomba pesa.
 
Kimsingi mwanaume akiwa na wewe kupata ashki za mwili ni jambo la kawaida.
Hili unaliona la kawaida lakini kuombwa pesa unaona ajabu.
Hivi vitu vinaenda sambamba hasa kama nia ni kula na kusepa pesa utaombwa tu
 
Bora wewe umesema ukweli. Yaani kuwa nisipoomba pesa ndo nitaonekana wa maana sana. Huwa sielewi hichi kitu
Inategemea umeomba pesa wakati gani,kuomba pesa siku ya kwanza tu ya date ni kuanika njaa hadharani sio ustaarabu.
 
Inategemea umeomba pesa wakati gani,kuomba pesa siku ya kwanza tu ya date ni kuanika njaa hadharani sio ustaarabu.
Ha haaa sasa unampangia?
Ila kuomba mbususu siku ya kwanza ndo ustaarabu wenyewe?
 
Samahan dada, hii comment naomba niiscreenshot na kuifanyia lamination, ntakuwa natumia kuwajibu wale wote wanaosema "tafuta hela upate madem"
 
Unamjuaje sasa? Namna anavojieka au? Tupe code
Jinsi anavyojileta. Sasa ukikutana na wapiga mizingq lazima upigwe maana wao wanaangalia pesa zaidi.
Mwanaume anayekuja kwa nia ya kujenga mahusiano ya kudumu anajulikana pia.
 
Ha haaa sasa unampangia?
Ila kuomba mbususu siku ya kwanza ndo ustaarabu wenyewe?
Afu we unakosea kulinganisha kuomba mbususu na kuomba hela.
Kumbuka sex ni watu wa2 na wote wanapata utam, , tena ke anapata utam zaidi...in reality haikutakiwa hata kuombana.
Sex imeletwa na Mungu mwenyewe, na ndio the whole point about mahusiano...Bila hivi viungo viwili kungekuwa na mapenzi?

ila pesa ni kitu extra nje kabisa...pesa ni man made makaratasi..Ambayo hata mwanaume ana shida nayo...Mwanaume naye akiomba pesa kwenye first date utamchukuliaje?

Kwahyo usifananishe hivi vitu viwili kabisa. Ni irrelevant
 
Jinsi anavyojileta. Sasa ukikutana na wapiga mizingq lazima upigwe maana wao wanaangalia pesa zaidi.
Mwanaume anayekuja kwa nia ya kujenga mahusiano ya kudumu anajulikana pia.
Mimi ndo nataka nijue wanajulikanaje? ili namm niwe najieka ivo
 
Nature haipo hivyo. That's y ukitaka kuoa unatoa mahari.
 
Nature haipo hivyo. That's y ukitaka kuoa unatoa mahari.
Mahari saivi zimebaki huku 3rd world countries...Na walioasisi mahari sio wanawake bali ni wanaume (wababa) ambao wanafanya biashara ya kumuuza binti yao.

Kuna system mbili za mapenzi..Ya kwanza ni ya usawa na ya pili ni ya kitamaduni...
Tuanze na ya kwanza:

Kwenye usawa, Mapenzi is about sharing, sio kushare viungo tu bali hata resources.
So Mwanaume should take care of mwanamke and vice versa.
Nani atoe zaidi? Mimi ntasema yule mwenye Kingi haijalishi jinsia yake.
So kwa hii system kunakuwa hakuna selfishness.
Maana pale unapomlazimisha mwanaume atoe ambacho hana inakuwa sio mapenzi inakuwa ni utapeli.
Unataka iphone14 wakati jamaa ni bodaboda hajanunua hata kiwanja, it means you dont care about him you are selfish.
Unataka akupe laki2 wakati hata hujui anaitwa nani ana kazi gani, anapitia circumstance gani kimaisha, yani ndo mmekutana tu...thats selfishness
And trust me, with that attitude ya kuwa entitled kupewa kupewa kupewa without giving....Ndoa inakuwa maybe ubahatishe boya ambalo halijui kutongoza.


With that being said, I understand where you are coming from. Kwamba traditionally Mwanaume ndie mtoaji mwanamke mpokeaji....Lakini ukifuata hiyo system ya pili: it comes with its baggage like
1.Mwanamke kumtumikia mwanaume (kingono, kikazi, nk.) Na kutokuwa na haki yoyote mbele ya mwanaume
2.Mwanamke kuwa mtumwa na kutokuwa na sauti yoyote mbele ya mwanaume.(kupigwa, kutofanya lolote bila ruhusa nk.)
3.Mwanaume mwenye mali kumiliki wanawake wengi
4.Mwanamke kuwa kama Chombo cha starehe (bila kujali hisia zake)

Tatizo lenu wadada wa sikuhizi mnataka usawa na haki zote ila bado hapohapo mnataka system ya kupewa kupewa kupewa.
So huo ni unafiki na ubinafsi....Either mchague kimoja hapo.
 
Hili unaliona la kawaida lakini kuombwa pesa unaona ajabu.
Hivi vitu vinaenda sambamba hasa kama nia ni kula na kusepa pesa utaombwa tu
Sasa wakati nakukula pale huwa pesa inakuwa eneo gani hadi uihitaji ndio nikukule?! Its a very simple logic kuwa umasikini ndio shida hapa. Ukiwa na pesa yako na ukatatua shida zako hutakuwa na haja ya kuamini mwanaume inabidi akupe chochote ndipo umpe attention yako.

Umasikini sasa umefika pabaya sana especially kwenu wanawake wa kizazi hiki. Mnatengeneza taifa la makahaba na wapenda tamaa. Kesho na kesho kutwa umeshachakazwa body count inasoma 100+ unakuja kutaka kusettle na mwanaume ili umpe malapulapu yako yalichovywa na kila mwanaume aliyekuringia noti. Seeeeee ptuuuuuuuuuh hadi kinyaaaaa.
 
Inategemea umeomba pesa wakati gani,kuomba pesa siku ya kwanza tu ya date ni kuanika njaa hadharani sio ustaarabu.
Na sio ustaarabu. Shida zipo ila sio kugeuza shida ndio haja ya kuingilia kwenye mahusiano.
 
Wanajulikana. Na mwingine king'ang'anizi. Dawa yake ni kumpiga mizinga akimbie
Sasa mbona mkirekodiwa video za connection mnasema wanaume wadhalilishaji, si wanakusaidia kutangaza biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…