ππHeheeeeeeeee dah
Haya ngoj niijue na hiyoππ
Vitu gaaani unavyoangalia πππ
Upendo [emoji23]Vitu gaaani unavyoangalia [emoji39]
Na kwa mwanamke anaempenda kweli, kuna ukweli hapa.Trust me,
Hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke anayejiheshimu, mtii na mnyenyekevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me,
Hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke anayejiheshimu, mtii na mnyenyekevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado upo nae au ni story ndefu kidogo?Kaka Hapa Umenenaβ¦.I Totally Agree With You.
Unajua kwa kawaida mtu yeyote anagharamia kitu flani anachokielewa na kuki adore sanaaβ¦..iwe gari / kiwanja / nguo / hata chakula.
We Men sio kwamba ni bahili β NO WAY β issue ni mpaka nitoe hela kwa kitu flani either kimenivutia kitabia, muonekano au sifa zake. Kwa mwanaume kumpa hela mwanamke willingly basi ni pale anapovutiwa na sifa na tabia zake.
Hamjai ona dem anaweza akawa mrembo kweli kweli ila a Man hutaki tu kumpa hela na unayo nyingi tuβ¦.hata heshima yako humpi zaidi ya kutamani kupiga na kuacha.
I once dated this gal nikawa najikuta nampaga hela tu bila hata kuombwa na bila kujuta kitu cz dem alikua na character flani hivi ya pekee sanaa (YES, Hakuwaga Omba Omba Wala Kuwa Na Tamaa Za Kishamba Na Ni Mwepesi Sana Kutoa Vyake Bila Hiana Akiwa Navyo), Daaah
(Mnisamehe Kwa Gazeti Refu)
Kwenda huko π€Upendo [emoji23]
bora umsema ukwelWasalaaam wana jukwaa.
Hivi wanawake ni viumbe vya ajabu sana sababu hawajuwi kula na vipofu kama kichwa cha maada hapo.
Ipo hivi, mfano umemtongoza kabla hajakupa jibu amekubali au la anakupiga mzinga, kitu ambacho kinamuumiza kila mwanaume kuombwa vitu visivyo msingi. Kwani kabla yangu ulikuwa ukiishi vipi? Umemtokea tu unaombwa vocha, mara gesi imeisha, mara kusuka, inatia hasira.
Kitu mbacho hawajui ni kuwa, omba omba unamwambia mtoke anataka umtumie nauli basi hata ukimtumia hiyo nauli anaishia kulia tu na hatatokea eneo la tukio. Wakati angekuja kwa nauli yake angekuwa kachukua pointi 3 zote muhimu.
Sababu ukija na nauli yako siwezi nikakuacha sijakupa chochote, ni uongo lazima kujiongeza nikupe nauli. Mnafeli sana aisee kwenye suala hili la kuwa omba omba.
Badilikeni, hakuna mwanaume atavumilia ku date na mwanamke hana hata vocha ya buku mbili!
Asanteni.
Wew unono wako unauza shngap?Acha ubahili wewe!hutokaa ule vinonoπ
Sniper 1, sniper 1 do u copy! Take down the girlOne man down
Si Bora wewe nimetoka kuombwa kulipa gari sijui imefanya nini.Wasalaaam wana jukwaa.
Hivi wanawake ni viumbe vya ajabu sana sababu hawajuwi kula na vipofu kama kichwa cha maada hapo.
Ipo hivi, mfano umemtongoza kabla hajakupa jibu amekubali au la anakupiga mzinga, kitu ambacho kinamuumiza kila mwanaume kuombwa vitu visivyo msingi. Kwani kabla yangu ulikuwa ukiishi vipi? Umemtokea tu unaombwa vocha, mara gesi imeisha, mara kusuka, inatia hasira.
Kitu mbacho hawajui ni kuwa, omba omba unamwambia mtoke anataka umtumie nauli basi hata ukimtumia hiyo nauli anaishia kulia tu na hatatokea eneo la tukio. Wakati angekuja kwa nauli yake angekuwa kachukua pointi 3 zote muhimu.
Sababu ukija na nauli yako siwezi nikakuacha sijakupa chochote, ni uongo lazima kujiongeza nikupe nauli. Mnafeli sana aisee kwenye suala hili la kuwa omba omba.
Badilikeni, hakuna mwanaume atavumilia ku date na mwanamke hana hata vocha ya buku mbili!
Asanteni.
Bora wewe umesema ukweli. Yaani kuwa nisipoomba pesa ndo nitaonekana wa maana sana. Huwa sielewi hichi kituUkitafakari kwa kina utajua mapenzi ni biashara
Chukua bia nakuja. Ita mafundi wakujengee mnara hapo hapo ulipo.Trust me,
Hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke anayejiheshimu, mtii na mnyenyekevu
Sent using Jamii Forums mobile app
ππKwenda huko π€