Ayatollah the Bird
Member
- Jul 30, 2026
- 93
- 226
Real mamy rudi kwenye uzi wangu ninashida na weweOngezea nyama Nyama kwenye Uzi π
Tumetesa na nini?
Na kwanini mumtese kijana wa watu? Hamna huruma kiasi hicho?Ongezea nyama Nyama kwenye Uzi π
Tumetesa na nini?
π π π π HajasemaNa kwanini mumtese kijana wa watu? Hamna huruma kiasi hicho?
Mtu asitoe maoni yake jamaniNjoo tukupe kazi hapa ya saidia fundi uache u simp.
Ukisikia kazini kuna kazi, basi ni kazini kwa kina Mods.. π
Hatubaki watu sisi jamani msituharibieSiku ukija kubakwa na hao unaowaita wanawake usije ukalaumu mtu,nimekwambia mapema kenge wewe.
MKimuomba hela atatoa.?Mtu asitoe maoni yake jamani
πReal mamy rudi kwenye uzi wangu ninashida na wewe
π π π π πMKimuomba hela atatoa.?
Una uhakika gani kwamba hao n wadada?
Habari Yako Bamtu hutaki mwanao Nyota yake ing'ae?Kwa kukisia tu itakuwa pm zipo busy sana. Maana wiki hii vijana hawataki kubaki nyuma.
Subiri zamu yenu mtafikiwa πUna uhakika gani kwamba hao n wadada?