Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Mar 30, 2011 #121 Sarafina1 said: Kwa nini usishindane nayo si maamuzi tu? kwani we huwa huvumilii ukishikwa na hamu ya bia halafu hela huna? Click to expand... Natafuta alternative nahamia kwenye Mnazi, Kibuku, Gongo, Choya, Mbege, Komoni, Msabe na Ulanzi.
Sarafina1 said: Kwa nini usishindane nayo si maamuzi tu? kwani we huwa huvumilii ukishikwa na hamu ya bia halafu hela huna? Click to expand... Natafuta alternative nahamia kwenye Mnazi, Kibuku, Gongo, Choya, Mbege, Komoni, Msabe na Ulanzi.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Mar 30, 2011 #122 Kaizer said: Mi naombeni Mwongozo...Sarafina1 ni nani wajameni.....mbona ninaelekea kumpenda gafla hivi. mmmmh:juggle: Click to expand... Ni binti wa Asprin
Kaizer said: Mi naombeni Mwongozo...Sarafina1 ni nani wajameni.....mbona ninaelekea kumpenda gafla hivi. mmmmh:juggle: Click to expand... Ni binti wa Asprin
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,053 Reaction score 648 Mar 30, 2011 #123 Sarafina1 said: Ambacho hajaelewa ni nini mpenzi naogopa kushambuliwa wakati bado mgeni, nikakimbia jukwaa kabla ya wakati my dia Click to expand... Hapo uko na kiibodi una wasiwasi,uso kwa uso inakuaje.??..,usiogope we' simamia unachoamini daima kitufurahishe au kisitufurahishe..
Sarafina1 said: Ambacho hajaelewa ni nini mpenzi naogopa kushambuliwa wakati bado mgeni, nikakimbia jukwaa kabla ya wakati my dia Click to expand... Hapo uko na kiibodi una wasiwasi,uso kwa uso inakuaje.??..,usiogope we' simamia unachoamini daima kitufurahishe au kisitufurahishe..
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Mar 30, 2011 #124 Husninyo said: ni mgeni mpyaaaa. Click to expand... mmh...umejuaje Husninyo........mmmh:juggle:
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Mar 30, 2011 #125 Fidel80 said: Ni binti wa Asprin Click to expand... dah...kwa hiyo kama vipi hebu kuwa mshenga apo mpwa tu do ze nidiful
Fidel80 said: Ni binti wa Asprin Click to expand... dah...kwa hiyo kama vipi hebu kuwa mshenga apo mpwa tu do ze nidiful
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 30, 2011 #126 Kaizer said: mmh...umejuaje Husninyo........mmmh:juggle: Click to expand... unapotea sana, watu tushakaribisha hapo.
Kaizer said: mmh...umejuaje Husninyo........mmmh:juggle: Click to expand... unapotea sana, watu tushakaribisha hapo.
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Mar 30, 2011 #127 Husninyo said: unapotea sana, watu tushakaribisha hapo. Click to expand... Mbona hujantafuta sasa,,,,
Husninyo said: unapotea sana, watu tushakaribisha hapo. Click to expand... Mbona hujantafuta sasa,,,,
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 30, 2011 #128 Kaizer said: Mbona hujantafuta sasa,,,, Click to expand... msg, hujibu. Nikikupgia hupokei, ukipokea huongei, ukiongea sikusikii vizuri. Kha! Mimi ishiwa pozi sasa.
Kaizer said: Mbona hujantafuta sasa,,,, Click to expand... msg, hujibu. Nikikupgia hupokei, ukipokea huongei, ukiongea sikusikii vizuri. Kha! Mimi ishiwa pozi sasa.
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,970 Mar 30, 2011 #129 Tendo la ndoa???? siku hizi hilo haliwezekani wachahe sana wanaweza kuvumilia mpaka ndoa. ila ushauri ni mzuri
Tendo la ndoa???? siku hizi hilo haliwezekani wachahe sana wanaweza kuvumilia mpaka ndoa. ila ushauri ni mzuri