The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Kwanini tunabalehe kabla ya ndoa???umeshawahi kujiuliza?
Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?
Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.
Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.
Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.
Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi
Umeme umenikatikia wajameni tutaonana kesho
Duh!!!!Umeme umenikatikia wajameni tutaonana kesho
umeshawahi kujiuliza?

Ni kweli huvunji sheria ya nchi lakini wanaume, wanatabia ya kukufuata akijifanya anakupenda kumbe nia yake ni kufanya tu tendo la ndoa na wewe lakini akisharidhika baada ya muda anasepa. Tena mwingine anasifia kabisa naniliu yako njuli ila kuoa anaenda kuoa kwingine kabisa.
Sisemi kama ni zawadi ya atakaekuoa ila nadhani inabidi ufike mahali useme basi inatosha
Umeme umenikatikia wajameni tutaonana kesho
Weka yamini kuwa hutatoka nje ukishaolewa, utashinda. Bt kabla ya hapo, duh, utajuaje kuwa huyu atakuweka ndani. Kama hujaolewa try it.
Wengine wanafanya kama funny/hobby siyo kwa kutaka kuolewa wa pesa, na hao unawaweka wapi?
I guess Sarafina ameishatendwa sasa anazungumzia from her experience, which does not apply to everyone.
Niko nakusanya maoni wapendwa nashukuru umeme umerudi tena
umeshawahi kujiuliza?
Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?
Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.
Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.
Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.
Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi
Do what suits you the best vinginevyo you wont get the actual answer for your questionNi kweli nilishatendwa na sidhani kama ni mimi tu ambae nimewahi kutendwa kwani kama alivyosema pearl hata wanaume huwa wanatendwa, ninachofanya ni kukusanya maoni ya watu mbali mbali na mitazamo yao.