umeshawahi kujiuliza?
Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?
Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.
Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.
Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.
Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi
Hi Sarafina.
Nadhan mawazo yako mazuri ila wengine unatuhukumu bure
Think of una mshikaji wako (one and the only one) mumekuwa kwenye uhusiano kwa muda kama mwaka utagomea kipi? tena as kila mmoja (mdada na mkaka mnatamani mchezo) sasa ya nini kujizuia.Kwangu baya ni kuonjwaonjwa na zaidi ya mmoja on the same period.
Umesema tusifanye kabla ya ndoa halafu wewe wewe unasema tufanye angalau siku tatu kabla! Lipi ni lipi?
Ambacho hajaelewa ni nini mpenzi naogopa kushambuliwa wakati bado mgeni, nikakimbia jukwaa kabla ya wakati my dia
Tendo la ndoa sio zawadi kwa atakaeoa. Ni haki ya msingi ya mwanamke au mwanaume bila kujali kaoa au kaolewa ilimradi tu havunji sheria za nchi.
Sijinyimi raha labda kwa sababu za kidini tuuuuuuuuuuuuSasa mpenzi umekaa na huyo mpenzi kwa muda wa mwaka ukaona anaelekea ukampa, baada ya muda kupita mkaachana baadae tena unakutana na mwingine unamnyima baada ya muda mnaachana utawaonjesha wangapi? mi nafikiri inabidi ifike kipindi useme basi inatosha. Ni maoni yangu tu
Hiyo siku tatu kabla ya ndoa unakua una uhakika kabisa huyu ni mume wangu na sio wale mnakaa anakwambia nitakuoa, nitakuoa lakini huoni jitihada zozote yeye kuwa na wewe nia yake ni kufanya tu mapenzi na wewe lakini ana mpango wa kuoa kwingine kabisa
naogopa kushambuliwa wakati bado mgeni, nikakimbia jukwaa kabla ya wakati my dia