Dah..km uko Mtwara kesho nko off njoo coco beach hp ule lunch yaani umenigusa sana kuna kitoto nlikuwa nakidekeza khatari rafiki yangu akanambia huu mwendo unapenda nae hyu atakuja kukusumbua mi nkamjibu acha nimuoneshe tu km nampenda akiniona fala c namuacha tu? kweli asee akaanza kujiona hakuna km yeye cwezi kupata mwengine km kantahiri yeye vle mi namchora tu akihitaji hki kapata vingine hata haombi mtoto wa kiume nshajiongeza ah....mwisho yalinishinda asee tukikaa kwa amani cku mbili ya tatu lazma ugomvi tutachuniana cku mbili tatu amani inarudi wiki tunachuniana tena ikabidi ninyoshe mikono juu kimwanamke kijuaji kibishi kama nini hata kikosee hakijui kujishusha nlipanga akimaliza mwezi wa 10 nianze process za ndoa ila mh....hapana wajaribu wenzangu am sure akimaliza uschana atajua mimi nlikuwa nani kwake vijana wa mjini nawajua michezo yao yangu macho tu!Nimegudua wanawake wengi wanalewa kwa kupendwa,unakuta jamaakajikunja kapenda mwanamke, anamjali, anamtimizia baadhi ya mahitaji yake, anafanya lolote ili awe na furaha na kujihisi kuwa anapendwa.anamjulia hali kila majira just for hi it doesn't implicate any cost but sometimes inaonesha some high degree of care na commitment to her, akiona gift nzuri ambayo anauwezo nayo anamnunulia whatever he see that can make his lovely so happy ana incur cost .But on the other side huyo mwanamke akishajiisi anapendwa anaanza kumwona jamaa kama fala, sometimes he can text her on her watsap ameiona lakini hajibu, anampigia simu hapokei,akimwuliza kaswali ka upendo anatoa majibu ya mkato. Some times you girls angalia mtu anayekupenda,kupendwa ni baraka,kupendwa ni tunu kuna wenzenu wanatamani hata kutongozwa lakini hyo bahati hawajaipata,wengine wanashinda makanisani wanabubujikwa na machozi wakiomba kupendwa, wanashinda kariakoo kwa wachina na kinondoni kwa wakongo wanatafuta mikorogo ya kufanya wawe na mivuto,wengine wanashinda kwa masangoma muda mwingine wagongwa nao kisa kutafuta kupendwa.Kumbuka mkishafikisha miaka 30 ndo jua lishazama,unasubiri muujiza,
Mtu kama humpendi au hujaridhika naye don't pretend, hakuna substitute kwenye mapenzi humpendi achana naye mwambie mapema sio unaanza kumretea mapicha ya kihindi.
Acheni ulevi wa mapenzi nyie,sometimes your not beautiful kivile but mshikaji kakuelewa na kukuaproach,we tu kupendwa unajiona ndo mzuri kuliko wanawake wote wa dunia hii.
Ukipendwa pendeka ,huyo jamaa unayemchezea na kumwona fala akiondoka inawezekana ndo wa mwisho, na miaka 30 ndo hyo,utaishia kucheza kwaito za wenzako mammae
Ukitaka kuzifahamu akili za wanawake utadata mkuu.
Cha muhimu fuata ushauri wa Biblia kuwa "ishi nao kwa akili" ( watoto wa mjini wanasema jiongeze)
so true yaaan
Dah huwa mnazingua sana. Mnataka kutupanda kichwani. Mi wangu ashakula vibao . Usijaribu kunipanda kichwani.Na nyie tukiwapenda msituone katuni.
Ah miss blossom acha izo banaaPole, na wewe lewa mapenzi yake.
Sasa kwa hali ya sasa kuna mambo ya kubembelezana, hali ngumu tafuta hela tuAh miss blossom acha izo banaa
Sio kwa povu hili hehehehehrheNimegudua wanawake wengi wanalewa kwa kupendwa,unakuta jamaakajikunja kapenda mwanamke, anamjali, anamtimizia baadhi ya mahitaji yake, anafanya lolote ili awe na furaha na kujihisi kuwa anapendwa.anamjulia hali kila majira just for hi it doesn't implicate any cost but sometimes inaonesha some high degree of care na commitment to her, akiona gift nzuri ambayo anauwezo nayo anamnunulia whatever he see that can make his lovely so happy ana incur cost .But on the other side huyo mwanamke akishajiisi anapendwa anaanza kumwona jamaa kama fala, sometimes he can text her on her watsap ameiona lakini hajibu, anampigia simu hapokei,akimwuliza kaswali ka upendo anatoa majibu ya mkato. Some times you girls angalia mtu anayekupenda,kupendwa ni baraka,kupendwa ni tunu kuna wenzenu wanatamani hata kutongozwa lakini hyo bahati hawajaipata,wengine wanashinda makanisani wanabubujikwa na machozi wakiomba kupendwa, wanashinda kariakoo kwa wachina na kinondoni kwa wakongo wanatafuta mikorogo ya kufanya wawe na mivuto,wengine wanashinda kwa masangoma muda mwingine wagongwa nao kisa kutafuta kupendwa.Kumbuka mkishafikisha miaka 30 ndo jua lishazama,unasubiri muujiza,
Mtu kama humpendi au hujaridhika naye don't pretend, hakuna substitute kwenye mapenzi humpendi achana naye mwambie mapema sio unaanza kumretea mapicha ya kihindi.
Acheni ulevi wa mapenzi nyie,sometimes your not beautiful kivile but mshikaji kakuelewa na kukuaproach,we tu kupendwa unajiona ndo mzuri kuliko wanawake wote wa dunia hii.
Ukipendwa pendeka ,huyo jamaa unayemchezea na kumwona fala akiondoka inawezekana ndo wa mwisho, na miaka 30 ndo hyo,utaishia kucheza kwaito za wenzako mammae