Wadada acheni hii ni hatari!

we utakuwa ulipania saana afu ukakuta ndivyo sivyoo.. anza na huyo uliyekutana nae kwanza.
 
Umejuaje ametumia sabuni hizo unazosema??.

Kama ni maumbile je?
 
Tatizo lako kushindwa kutimiza wajibu wako mpk papucci imegoma kutoa maji afu unasingizia kaisiki inahuuuuuuu!!!!!
Pale kati ni sanaa tena isiyo na ufundi maalum...
 
Hahaha!!ndio bongo hiyo mkuu,chini bikra juu bibi ziwa limesleep;usoni mzungu ndani kalio mabaka meusi kibao!!vumilia tu
 
Dada tina mbona amekiri mwenyewe,nia yangu kutoa ujumbe kwa jamii.Niko vizuri kitandani na mbona zamani hakuwa hivyo!
 
Hao ndio ma baby wa mjini elewa somo kitu bikra
 
Ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa ukiikuta kavu si ndo vizuri sio iwe na jasho.... Inabidi kazi ya kupalainisha uifanye wewe, kuna natural oil pale ukiweka maufundi tu utashangaa..
 
Acheni masabuni ya ajabu kusafishia papuchi, kaisiki zenu zisiwadanganye, hamna men anapenda papuchi kavu kiasi hiko!
Umekutana na hiyo hali kwa wanawake wangapi? Na umechukua hatua gani kabla ya kuja humu jf? Au wewe ni aina ya wale watu ambao wakimuona mtu mmoja asiye na nywele basi wanaamini dunia nzima watu wote hawana nywele.
 
halahala wadada tusitumie hivyo vitu jaman kwan tunaharibu ph ya uko mahali jaman..hivyo kuwa rahisi kupata maradhi mbalimbali..tafadhali jamani
 
Big up byb sac yani pH inaenda hadi 14 sasa hiyo si Conc NaOH
 
Acheni masabuni ya ajabu kusafishia papuchi, kaisiki zenu zisiwadanganye, hamna men anapenda papuchi kavu kiasi hiko!

Mkuu mate yako hayatelezi kama ya chatu nini??Duh kitu cha sabuni pole Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…