mavuno nyamanoro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 587
- 156
kama maombi yanatosha Hospitar za dini zinajengwa za nini?. acheni kupoteza watu kwa ujinga kama huu
Wanaojenga hosp ni wakristo wa kweli kama vile katoliki. anglikana. lutheran .au SDA. walokole ni watu wa shetani na hawajengi hospitali na kila kanisa la walokole ni la mtu na huyo ndio anakula sadaka utakuta msaidizi au namba two ni mke wake. wanasiri gani ? wanajipa uaskofu au hata utume. mifano iko mingi Dar na unaijua kama mwenge. ubungo n.k
wewe nawe una kanisa lako pole sana kwakughafilika mkuu hahahahahahahahahahahaahahahahahahahahhuwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena ulaaniwe una mapepo si bure
Inasikitisha na inahuzunisha sana niko Biharamulo mkoa wa kagera. mdahu kunamama amefariki. mmewake ana ng'ombe nyingi tu, alimpeleka mkewake hospitar ya wilaya akapewa rufaa kwenda Bugando yeye akamludisha kwa mchungaji kumuombea sasa amekufa
wewe nawe una kanisa lako pole sana kwakughafilika mkuu hahahahahahahahahahahaahahahahahahahah
msumariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ukirusha jiwe gizani ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaa jua limegusa penyewe
Huwa sina kawaida ya kuongea wala kupost ila post yako imenifanya nicomment Ulaaniwe huwezi ita imani za wenzako dini ya mashetani shetani ni wewe hapo mwenyewe naruudia tena Ulaaniwe una mapepo si bure
Sijakuelewa bado hasa hayo maneno; "kirokole" mdahu??, ng'ombe "nyingi", "hospitar", "akamludisha"Inasikitisha na inahuzunisha sana niko Biharamulo mkoa wa kagera. mdahu kunamama amefariki. mmewake ana ng'ombe nyingi tu, alimpeleka mkewake hospitar ya wilaya akapewa rufaa kwenda Bugando yeye akamludisha kwa mchungaji kumuombea sasa amekufa
Wewe umejuaje kwamba alikuwa anamaanisha kilokoleSio kirokole ni kilokole man
Wewe umejuaje kwamba alikuwa anamaanisha kilokole