Tumuogope Mungu ki vipi? sie huku kwetu Mwanza - Nyegezi wapo. Wanawahi mapema stand kila gari inayotoka wanapanda wanatoa neno, tena wana spika zao za aina fulani hivi, wakimaliza wanaomba SADAKA. na mahubiri yao yanaongelea neno ajali kwa kulirudia rudia mara kwa mara.