Wachungaji, hasa makanisa yanayoitwa ya kiroho

Status
Not open for further replies.

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,692
Reaction score
14,079
Kuna tabia imezuka ya kuwaambia waumini "Hebu mgeukie jirani yako mwambie..........blah bla blah''

Hii ni kero!! manake aliye jirani yako huwezi jua yuko kwenye mood gani. Waumini wengi hugeukiana na kuambiana hizo blah blah kinafki.(haitoki moyoni) Kitu ambacho kinakomaza unafiki makanisani.

Kingine ni baada ya mchungaji ku kaukiwa point husema ''halooo'' na waumini wanaitikia ''haloooo'' Hii ni tabia ya ''kihuni'' haiendani na mafundisho ya kuongoza watu kwenda mbinguni.

Leo naishia hapa next week nitawajuza kingine.
 
Hahaaa... na hilo ndo lengo hasa,, kama umeingia kanisani na mamood yako yanafishwa kwa lazima kwa kupatanishwa na alojirani yako,, huwezi kuworship ukiwa na mamood,, kanisani ni mahali pa Mungu na Mungu ni upendo
 
Kweli hata mimi huwa inanikera sana. Hiyo ya kukaukiwa pointi huwa wanaificha kwa kurudia mara nyingi "Bwana asifiwe!" mkijibu "Ameni" wanajifanya sauti ndogo wanarudia tena na tena mpaka tunachoka.

Wakati mwingine utasikia mwambie mwenzako "uko nyumbani mwa bwana" siku moja nikamgeukia kumwambia mwenzangu kumbe alikuwa ameuchapa usingizi ikawa kama nimemsitua akaruka nusu aanguke.

Wajaribu kuwa na mahubiri mafupi wakati mwingine wanayarefusha bila sababbu kwa kurudia rudia vitu walivyokwisha kuvisema. Asante. "Bwana Mungu asifiwe sana!"
 
Hapo kwenye kugeukiana naunga mkono, sio vibaya ila sasa kama bahati mbaya umekaa na mtu ambaye kwa namna moja au nyingine mna bifu yani ni unafiki 100% ee Mungu tusamehe na utupe moyo wa kusamehe na kusahau cc wanao.
 
Kuna tabia imezuka ya kuwaambia waumini "Hebu mgeukie jirani yako mwambie..........blah bla blah''

Hii ni kero!! manake aliye jirani yako huwezi jua yuko kwenye mood gani. Waumini wengi hugeukiana na kuambiana hizo blah blah kinafki.(haitoki moyoni) Kitu ambacho kinakomaza unafiki makanisani.

Kingine ni baada ya mchungaji ku kaukiwa point husema ''halooo'' na waumini wanaitikia ''haloooo'' Hii ni tabia ya ''kihuni'' haiendani na mafundisho ya kuongoza watu kwenda mbinguni.

Leo naishia hapa next week nitawajuza kingine.
kimsingi mm hujanifundisha kitu hapo kaka,,,,,sasa nishike maneno ya nani?yako au ya wachungaji? au ulikuwa unalenga nn?
 
Kuna tabia imezuka ya kuwaambia waumini "Hebu mgeukie jirani yako mwambie..........blah bla blah''

Hii ni kero!! manake aliye jirani yako huwezi jua yuko kwenye mood gani. Waumini wengi hugeukiana na kuambiana hizo blah blah kinafki.(haitoki moyoni) Kitu ambacho kinakomaza unafiki makanisani.

Kingine ni baada ya mchungaji ku kaukiwa point husema ''halooo'' na waumini wanaitikia ''haloooo'' Hii ni tabia ya ''kihuni'' haiendani na mafundisho ya kuongoza watu kwenda mbinguni.

Leo naishia hapa next week nitawajuza kingine.

Umesahau daftari na kalamu, wagalatia mna mizaha mingi !
 
Kuna tabia imezuka ya kuwaambia waumini "Hebu mgeukie jirani yako mwambie..........blah bla blah''

Hii ni kero!! manake aliye jirani yako huwezi jua yuko kwenye mood gani. Waumini wengi hugeukiana na kuambiana hizo blah blah kinafki.(haitoki moyoni) Kitu ambacho kinakomaza unafiki makanisani.

Kingine ni baada ya mchungaji ku kaukiwa point husema ''halooo'' na waumini wanaitikia ''haloooo'' Hii ni tabia ya ''kihuni'' haiendani na mafundisho ya kuongoza watu kwenda mbinguni.

Leo naishia hapa next week nitawajuza kingine.

Hakuna Kanisa lisilo la Kiroho kwa kuwa kila mtu ana roho na hata wewe una roho furani , ndo maana umeleta hii post.
Tofauti kubwa ni roho yupi??

Maana hata shetani ni Rohoo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom