Inashangaza kuona mchungaji anajihusisha na biashara isiyo rasmi au isiyokuwa ya njia yake. Upako wake uko katka kuhubiri habari njema, na nilazima afanye mambo yanayoenda kwa haki na siyo kujaribu biashara zisizo rasmi. Kama anahitaji kufanya biashara nyingine bora aandikishe kampuni yake hiyo na iendeshwe na kusimamiwa na watu wengine wa familia yake ina ijulikane kuwa ni kampuni halali. Kama Mchungaji hanyimwi kufanya biashara ilimradi isiwe haramu.