Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
😂😂😂Kwahiyo. Umekuja kunisema kanisa langu kimafumbo huku jf. Baada ya kukuelekeza pale mlangoni. Na nisikuone kanisa kwangu.
Hahahaha! Mnakera mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo. Umekuja kunisema kanisa langu kimafumbo huku jf. Baada ya kukuelekeza pale mlangoni. Na nisikuone kanisa kwangu.
Wanakuwa wakali sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchungaji anakupa na vyeo kabisa ili usikose sababu ya kwenda kanisani 😅 ili akukamue vizuri. Kuna mwanamama pia aliachwa sababu ni hio hioTena wakiona umekuja na usafiri wako ndio shida... Maana watakuganda na kwako waje .. ..
Kuna dada namfahamu ...yalimkuta na matokeo amefilisika na ndoa kuvunjika .. utadhani kuna kitu walimpa akawa Kama hajielewi ... Pesa zote anapeleka kanisani!
Mchungaji anashinda nyumbani kwake na mume anaishi mbali kikazi!
Kafikia kuuza mpaka Mali za familia!
Wengine wana mambo ya kijinga mnoTena wakiona umekuja na usafiri wako ndio shida... Maana watakuganda na kwako waje .. ..
Kuna dada namfahamu ...yalimkuta na matokeo amefilisika na ndoa kuvunjika .. utadhani kuna kitu walimpa akawa Kama hajielewi ... Pesa zote anapeleka kanisani!
Mchungaji anashinda nyumbani kwake na mume anaishi mbali kikazi!
Kafikia kuuza mpaka Mali za familia!
Ni muhimu! Kwanza ni kupata ulinzi dhidi ya maadui wasioonekana na wanaoonekana, wachawi, waiba nyota n.kKumbe kuna watu bado mnasali mpka miaka hii ? [emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ujinga kwa mke wangu aisee sitaki kuusikia, kwa nini wakulazimishe?Mchungaji anakupa na vyeo kabisa ili usikose sababu ya kwenda kanisani [emoji28] ili akukamue vizuri. Kuna mwanamama pia aliachwa sababu ni hio hio
That's good!Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Kuna mtu kakuita humu..sijui wajinga kama wewe hua mnashida gani.Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Mwanamke ni kiumbe rahisi kupigika sound. Ukilegea mchungaj atamtmba kabisa ili amshikilie vyema zaidi.Huu ujinga kwa mke wangu aisee sitaki kuusikia, kwa nini wakulazimishe?
Kuna mtu kakuita humu..sijui wajinga kama wewe hua mnashida gani.
#MaendeleoHayanaChama
Wakigundua wewe ni mtu fulani,una kawadhifa fulani lazima kanisani utapewa nafasiMchungaji anakupa na vyeo kabisa ili usikose sababu ya kwenda kanisani 😅 ili akukamue vizuri. Kuna mwanamama pia aliachwa sababu ni hio hio
Nakumbuka maza angu mkubwa alipewa uzee wa kanisa. Watakuwa walikuwa wanamvuna haswa na ukaribu aliokuwa nao na yule mchungaji sina shaka alikuwaga anamgonga kabisa.Wakigundua wewe ni mtu fulani,una kawadhifa fulani lazima kanisani utapewa nafasi
Wakukamue hela vizuri
Ova