Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,180
- 2,454
Mi ni mwanafunzi bado so naweza nkakosea ila nachojua ni kwamba discounting measure zote zinatumia interest rate uliyochukulia mkopo so kwenye kutafuta NPV, BCR na IRR utatumia interest rate moja ktk kufanya discount measures zako. Ukiniambia interest rate yako naweza nkakuwekea list ya discount factors za miaka yote 12 hapa
Mkuu kama unatumia TZS kwenye financial projections zako discounting factor/rate yako isiwe chini ya 22% na kama unatumia USD ama any other hard currency isiwe chini ya 10%.
Mkuu si lazima utumie zote mbili IRR na NPV moja inatosha ingawa kila moja ina weakness yake. Kwa mradi wa miaka kumi na mbili its very likely kukpatia un realistic figure kwa sababu time line yako ni kubwa sana kiasi kwamba changes zitakazojitokeza hapo zinaweza zisiwe reflected. hivyo ningekushauri utumia 6 - 8yrs time line.
Nafahamu pia Sisal inatumia muda mrefu mpaka ianze kuvunwa 3 - 5years na utaivuna for 15 - 30years hivyo kuna alot of assumptions you need to include in your proposal. Pia na inaweza ikakupa negative values/rate below discounting rate/factors. Kama unajua kutumia excel vizuri ni rahisi sana kuitafuta NPV/IRR na unaweza kucheza nayo jinsi utakavyo
Wish you all the best kwenye proposal yako
Kwasababu diacount rate inatumika kupata future value of money, in case unatumia mtaji wako mwenyewe utachofanya ni kutumia interest rate ambayo ungepata kama hiyo pesa ungesave ktk savings au fixed account badala ya ku-invest
Mkuu kama unatumia TZS kwenye financial projections zako discounting factor/rate yako isiwe chini ya 22% na kama unatumia USD ama any other hard currency isiwe chini ya 10%.
Mkuu si lazima utumie zote mbili IRR na NPV moja inatosha ingawa kila moja ina weakness yake. Kwa mradi wa miaka kumi na mbili its very likely kukpatia un realistic figure kwa sababu time line yako ni kubwa sana kiasi kwamba changes zitakazojitokeza hapo zinaweza zisiwe reflected. hivyo ningekushauri utumia 6 - 8yrs time line.
Nafahamu pia Sisal inatumia muda mrefu mpaka ianze kuvunwa 3 - 5years na utaivuna for 15 - 30years hivyo kuna alot of assumptions you need to include in your proposal. Pia na inaweza ikakupa negative values/rate below discounting rate/factors. Kama unajua kutumia excel vizuri ni rahisi sana kuitafuta NPV/IRR na unaweza kucheza nayo jinsi utakavyo
Wish you all the best kwenye proposal yako
Wakuu hii lugha yenu naona maluweluwe tu ila ni vyema sana napenda kujifunza na mimi tukikutana jukwaa la sheria tutajuzana
Nimejifunza kitu kipya, sikufahamu kama tunatumia DR tofauti kutokana na aina ya currency unayotumia kwenye analysis ya project yako
wewe nenda kasome tu jurisprudence...huku utadanja..ni mwendo wa volatility, opportunity cost mwanzo mwisho..!!!!hahahahahaWakuu hii lugha yenu naona maluweluwe tu ila ni vyema sana napenda kujifunza na mimi tukikutana jukwaa la sheria tutajuzana
wewe nenda kasome tu jurisprudence...huku utadanja..ni mwendo wa volatility, opportunity cost mwanzo mwisho..!!!!hahahahaha
Daah! Mkuu umeshawahi kuandika project ya sisal nini? Maelezo ya uvunaji na mpaka kikomo chake umeeleza vyema sana kama vile mtu mwenye idea na sisal industry. Kwa ujumla nashukuru sana mkuu, Maelezo yako yamenipa mwanga zaidi. Anyway, ningependa kujua logic ya kuweka interest rate kubwa tunavotumia TZS, kuliko USD, Ni kwaajili ya inflation kubwa au?
Kwenye masuala ya excel, hayanipigi chenga, nitajitahidi kwenda nayo vizuri
Mkuu karibu sana kwenye lecture hii ya uchumi, nathamini nafasi yako ktk kupitia post hii. Hzi ni lugha za kiuchumi zaidi
wewe nenda kasome tu jurisprudence...huku utadanja..ni mwendo wa volatility, opportunity cost mwanzo mwisho..!!!!hahahahaha
hahahahaha usiogope kaka..tuko pa1..kwenye mandamus nin mpango mzima...!!!Hahaha aisee acha tu ila ukija kwenye practise juris iko far from application.. Anyway wacha nisikilize wasomi wakishusha nondo za kubadilisha maisha mi napenda sna kujifunza
hahahaha..na asisahau kesi ya..fisher v bell..invitation to treat hiyo hhahahahah.....Hahahaha, akasome lifting the corporate vail, doctrine of ultravires