Wachumba kukimbia tatizo nini?

Wachumba kukimbia tatizo nini?

Asiwe na papara angoje wake atakayempenda kwa moyo yaani sasa apumzike tuu atampata mwanamke anayempenda kwa dhati tatizo katika mwaka na nusu tuu tayari amewadate wanawake kibao na kutaka kuwaengage wapi hiyo anataka ndoa au maonyesho
 
Huyu mshkaji wako anasound kama wewe kabisa!!!
 
Kwa maoni yangu kwa situesheni aliyofikia huyu jamaa yetu inabidi kwanza atulie ili interval kati ya uhusiano mmoja na mwingine iweze kumpa nafasi ya kutafakari na kuwa na strategy mpya maana nina hofu kuwa kwa haraka zake anaweza kua anahamisha mapungufu ya uhusiano mmoja na kuyahamishia kwenye uhusiano mpya, Pili ni vizuri akatafakari zaidi kujijua kwality yake na strength zake ili ajue mume bora huwa anakuwaje na yeye ajitengeneze kuwa mume bora yumkini wadada wakikaanae wanamshtukia kuwa yeye siyo mume bora ndo maana wanamkimbia. Kitu kingine ni vyema akajifunza kuwa mtu wa kawaida ( common man) mara nyingi watu wanapenda kuwahadaa wadada kwa kujifanya bab kubwa na mikogo miingi wakati wadada nao skuiz wanajua michano wakiskia tu stori zako za ujanja ujanja wanakukimbia maana wanajua huwezi kuhold maisha kwa uwongo uwongo, mwisho amtangulize mungu katika sala zake aombe kupata mke mwema maana hata akiwa mjanja vipi atabakia kupate mtu mke na siyo mke, matokeo yake ni shida tu.
 
mwambie mshkaji asali labda kweli anajini mahaba mademu wanavponda hivo ndoa afu wakimbie lazima kutakua na kitu
 
kuna wanaume wengine wanapenda kuchagua sana utakmkuta mtu mwenyewe mhh.mtu chagua kulingana na wewe utakuta unakakichwa kama papai unataka beyonce wakati unajua pale kumudu beyonce huwezi tafuta size yako mwe

Nimekupa like kimakosa,sura ya mwanaume na kuwa na mwanamke ni vitu viwili tofauti,umemwona mtoto aliyenaye mzee machache????
 
Mwambie ndugiyo ani PM kama yumo humu JF.Kama hayumo humo niPM wewe nikuelezee.
 
Kwa maoni yangu kwa situesheni aliyofikia huyu jamaa yetu inabidi kwanza atulie ili interval kati ya uhusiano mmoja na mwingine iweze kumpa nafasi ya kutafakari na kuwa na strategy mpya maana nina hofu kuwa kwa haraka zake anaweza kua anahamisha mapungufu ya uhusiano mmoja na kuyahamishia kwenye uhusiano mpya, Pili ni vizuri akatafakari zaidi kujijua kwality yake na strength zake ili ajue mume bora huwa anakuwaje na yeye ajitengeneze kuwa mume bora yumkini wadada wakikaanae wanamshtukia kuwa yeye siyo mume bora ndo maana wanamkimbia. Kitu kingine ni vyema akajifunza kuwa mtu wa kawaida ( common man) mara nyingi watu wanapenda kuwahadaa wadada kwa kujifanya bab kubwa na mikogo miingi wakati wadada nao skuiz wanajua michano wakiskia tu stori zako za ujanja ujanja wanakukimbia maana wanajua huwezi kuhold maisha kwa uwongo uwongo, mwisho amtangulize mungu katika sala zake aombe kupata mke mwema maana hata akiwa mjanja vipi atabakia kupate mtu mke na siyo mke, matokeo yake ni shida tu.

mkuu,nakubaliana na ushauri wako kwa 100%atleast nimepata wazo jipya kutoka kwako.nitalifikisha kama lilivyo
 
Back
Top Bottom