wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 286
wana jf salaam,
nimeshindwa kuanalyse situation ya rafiki yangu mmoja hivi ambaye tunafanya kazi,kaniomba ushauri wa kimsaada lakini kwa ushauri niliompa naona kama haujitoshelezi na bado hajapata majibu muafaka wa tatizo lake.swahiba wangu huyu ana nia ya dhati kabisa ya kuoa lakini wachumba wamekuwa wakimkimbia.ndani ya mwaka na nusu sasa amekimbiwa na wachumba watatu na huyu aliyenaye kwa sasa haeleweki.wa kwanza alimfumania lakini hakujua kwanini aliamua kwenda kwa mwanamme mwingine.wakaachana.wa pili aliishi nae kwa muda wa miezi minne lakini baada ya kumeleza kuwa anahitaji akamtambulishe kwa wazazi alikubali,jamaa kaja kazini aliporudi home hakumkuta huyo mdada.alipompigia simu mdada akajibu eti alikuwa na mchumba tayari.watatu ilikuwa siku ya mwakampya wanajiaandaa kutoka lakini ghafla mdada akampigia simu na kumwambia hawataweza kutoka na mapenzi yao yaishie hapo hapo na hana sababu yoyote ya kumpa ila yaishe tu.jamaa kakubali kwa shingo upande.maisha yakaendelea.mwaka huu mwezi wa pili akapata mdada mwingine ambaye anafanya kazi kwenye shirika moja lisilo la kiserikali.baada ya miezi mitano wakakubali wakatambulishane.wakaenda kwanza kwa ndugu wa kijana kisha kwa wazazi wa msichana.baada ya kutoka huko swahiba akapanga mwezi wa tisa apeleke barua ya posa.madada akakubali.ni kama takribani wiki mbili sasa mdada akamfuata jamaa na kumwambia asubiri kwanza kwani sio muda muafaka.cha ajabu amekuwa akipokea simu za swahiba kwa nadra sana bila kuwa na sababu yoyote.jamaa yuko kwenye dilema na hajui kwanini haya yote yanamtokea.nimemuuliza kuhusu kupiga mashine anasema mbona anapiga tuu fresh sasa hajui tatizo litakuwa wapi.plz ushauri wako tafadhali