Naomba yeyote anayefahamu watu wazuri na wenye gharama nafuu kwa uchoraji/design ramani za nyumba kwa ajili ya kuishi/makazi tafadhali anisaidie.
Naamini wengine wapo humu jf, tafadhali naomba mjitokeze, nipeni contacts tutafutane.

Naamini unahitaji msanifu (architect) na sio mchoraji (draftsman)! Hili ni la muhimu maana usije ukaingia mkenge! Kama unatafuta architect naweza kukupa contacts lakini kwenye suala la bei nafuu hilo sitaki kulisemea kwa sababu sijui kipato chako (i.e. bei nafuu kwako yaweza kuwa aghali kwangu or vice versa!).

ahahahahaa...nyumba ishajenga sasa inahitaji michoro..ok..its possible..inaitwa michoro hiyo "as built drawings"...inategemea pia unahitaji michoro hiyo kwa matumizi gani...say unahitaji kuongezea ghorofa juu..soo unahitaji architect atakayefanya kitu inaitwa design Concept and space layout na kwa kushiirikiana na structural engineer atakayefanya structural analysis and soundness of the building b4 ku-recommend hiyo vertical xtension...au..unataka kuigeuza nyumba ya kulala kuwa say bar, office, or anything....
architect works better in here kuliko huyo drafsman maana usually wao wanafanya kazi kwa mwongozo na maelekezo ya architects....NI USHAURI TU BILA MALIPO