Wachina!!!!!

Baba Rizi huyo...anakipaji cha kuimba nyimbo za mipasho toka utotoni...uongozi atauwezea wapi?
 
nimecheka kweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeelikweli
 
Ni talenti yake kazaliwa nayo.
 
kwa kupenda ujiko mkulu alitamani arushe kidogo lakini dasboard imeandikwa kichina
 
ha ha ha....:lol:,anajiandaa na namna ya kudhibiti wapinzani wake kama Gaddafi!
 
ndio mana nchi inakaribia kumshinda huu ni muda wa kucheza game au ni wakutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayotukabili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…