No sijatumwa I am just curious( there are so many discrepancies in our legal system)
Sheria ipi can you be specific? Fair competition Act? Investment Act of 1997? your statement is so vogue!Sheria iko wazi kabisa,raia wa nje anatakiwa aje nchini kuwekeza na si kufanya uchuuzi,ina maana akija hapa anakuja na mtaji na kuanzisha ajira mpya si kufanya kazi ambazo wazawa wanazifanya.........
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
"chinese vandalism in our country" this is too sweeping statement, isn't it?
Which is not far from being xenophobic I guess!
Hili swala hata mi mi nimewahi kulifikiria sana na nimeona tabia yetu ya uvivu ndio inatufanya tuwapakazie hawa wachina.Kumekuwa na matamko mbali mbali yakikemea raia kutoka china wasijihusishe na kufanya biashara ndogo ndogo, hivi kufanya biashara ndogongodo ukiwa raia wa nche ni kosa kwa mujibu wa sheria gani. Ninavyofahamu mimi Fair competition Act ya 2003 inazuia uingizaji wa bidhaa zisizofikia kiwango lakini sheria hii haielezi kwamba kuwa raia wa nje haruhusiwi kufanya biashara nchini. Kuna kisingizio kingine kwamba wachina wanaingia nchini kwa kisingizio cha 'investors' only to find them hawking lakini kwa mujibu wa TIC ACT investors ni wale wenye mtaji kuanzia dola 100,000. Je wachina kuja nchini kufanya biashara wamevunja sheria gani?
Kumekuwa na matamko mbali mbali yakikemea raia kutoka china wasijihusishe na kufanya biashara ndogo ndogo, hivi kufanya biashara ndogongodo ukiwa raia wa nche ni kosa kwa mujibu wa sheria gani. Ninavyofahamu mimi Fair competition Act ya 2003 inazuia uingizaji wa bidhaa zisizofikia kiwango lakini sheria hii haielezi kwamba kuwa raia wa nje haruhusiwi kufanya biashara nchini. Kuna kisingizio kingine kwamba wachina wanaingia nchini kwa kisingizio cha 'investors' only to find them hawking lakini kwa mujibu wa TIC ACT investors ni wale wenye mtaji kuanzia dola 100,000. Je wachina kuja nchini kufanya biashara wamevunja sheria gani?
Wachina hawaji na dola 100,000 most of them,na taarifa ingine ni kwamba wachina hawa kuanzia uko kwao sio wafanyabiashara,hawa unaowaona hapa hawajui hata kiingereza inamaana hawajahi kuwa na mipango ya kufanya international business achilia mbali kwamba hata mitaji yao wanapewa na serikali yao-interest free.waende.
Wachina hawaji na dola 100,000 most of them,na taarifa ingine ni kwamba wachina hawa kuanzia uko kwao sio wafanyabiashara,hawa unaowaona hapa hawajui hata kiingereza inamaana hawajahi kuwa na mipango ya kufanya international business achilia mbali kwamba hata mitaji yao wanapewa na serikali yao-interest free.waende.
Kufanya biashara per se sidhani kama ni kosa na ndio maana bado wapo wanaendelea.Kumekuwa na matamko mbali mbali yakikemea raia kutoka china wasijihusishe na kufanya biashara ndogo ndogo, hivi kufanya biashara ndogongodo ukiwa raia wa nche ni kosa kwa mujibu wa sheria gani. Ninavyofahamu mimi Fair competition Act ya 2003 inazuia uingizaji wa bidhaa zisizofikia kiwango lakini sheria hii haielezi kwamba kuwa raia wa nje haruhusiwi kufanya biashara nchini. Kuna kisingizio kingine kwamba wachina wanaingia nchini kwa kisingizio cha 'investors' only to find them hawking lakini kwa mujibu wa TIC ACT investors ni wale wenye mtaji kuanzia dola 100,000. Je wachina kuja nchini kufanya biashara wamevunja sheria gani?
kuna jamaa aliwahi kuniambia kuna baadhi yao huletwa huku kutumikia vifungo vya nje.Wachina hawaji na dola 100,000 most of them,na taarifa ingine ni kwamba wachina hawa kuanzia uko kwao sio wafanyabiashara,hawa unaowaona hapa hawajui hata kiingereza inamaana hawajahi kuwa na mipango ya kufanya international business achilia mbali kwamba hata mitaji yao wanapewa na serikali yao-interest free.waende.
Sheria ipi can you be specific? Fair competition Act? Investment Act of 1997? your statement is so vogue!