Una pesa tukuletee Bonanza je unataka ya kununua iwe Yako au yakuchezeshaKwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger.
Muhimu Sana.
Seriously Kaka nipe no tuwasilianeMe dereva wao niambie shida yako nimuelekeze hapa huyu macho madogo niko nae
Madubwi yote yapo chini ya mdogo wake aliyekuwa MNYIKULU wa JKKwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger.
Muhimu Sana.