Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,000 Reaction score 7,618 Sep 3, 2025 #1 Gwaride la kijeshi la Beijing laanza na mizinga kurushwa kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa China dhidi ya Japan katika Vita vya Pili vya Dunia. Your browser is not able to display this video. Attachments 1756885307674.mp4 2.8 MB 1756885246292.mp4 1.1 MB
Gwaride la kijeshi la Beijing laanza na mizinga kurushwa kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa China dhidi ya Japan katika Vita vya Pili vya Dunia. Your browser is not able to display this video.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,979 Sep 3, 2025 #2 Hivi wachina wao awavunji matofali kwa ndonga?
P pet96 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2022 Posts 1,683 Reaction score 2,786 Sep 3, 2025 #3 Hawajamzidi samia
Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 2,150 Reaction score 4,718 Sep 3, 2025 #4 Hawajatufikia hata robo
R Rotomoto JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 1,038 Reaction score 2,058 Sep 3, 2025 #5 Utafikiri ni kiwanda machine au mitambo ipo on inafanya kazi
Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,917 Reaction score 6,929 Sep 3, 2025 #6 Nnachowakubali hawa washkaji hizi kazi hawapeani na ni uzalendo kwa kwenda mbele ! Halafu wamejikita zaidi kwenye weredi na akili ya mtu angalia hapo madogo ndo wanagonga mzigo miaka 20- 23 hapo unakuta ni Maafisa tupu hapo!
Nnachowakubali hawa washkaji hizi kazi hawapeani na ni uzalendo kwa kwenda mbele ! Halafu wamejikita zaidi kwenye weredi na akili ya mtu angalia hapo madogo ndo wanagonga mzigo miaka 20- 23 hapo unakuta ni Maafisa tupu hapo!