Mumwi JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 592 Reaction score 123 Feb 15, 2011 #1 Wana jf, Naomba kujua kuhusu hali ya wachina kariako na sehemu zingine zingine za nchi ni kweli wameondoka? Na je kuna waliokamatwa mpaka sasa? Tunaomba wale walio karibu na maeneo ya kariakoo watujulishe.
Wana jf, Naomba kujua kuhusu hali ya wachina kariako na sehemu zingine zingine za nchi ni kweli wameondoka? Na je kuna waliokamatwa mpaka sasa? Tunaomba wale walio karibu na maeneo ya kariakoo watujulishe.