Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
kwani unauzoefu gani hadi ustajabu hili bibie,
kukudhibitishia hili naweza fuga ndani ya wiki tuuh hakika nikipitisha ni kama dodoki,natumaini utatekenyeka sana
😅😅😁Kwa sisi wenye ukomavu wa nywele lazima tuzingatie brand hiko kiwembe cha wachina tunaweza kununua hata viwembe vitano ndo nywele zinakatika tena hizo za kwapa tu