π π πKwa sisi wenye ukomavu wa nywele lazima tuzingatie brand hiko kiwembe cha wachina tunaweza kununua hata viwembe vitano ndo nywele zinakatika tena hizo za kwapa tu
Bado unanyolea viwembe? Ingia dukani nunua shaver, zipo Hadi za elfu 7, hapo wewe ni kuchaji tu na kutumia.....miwasho, mapele ya ndevu na maporomokoni utayasikia Kwa jirani.
π π πKwa sisi wenye ukomavu wa nywele lazima tuzingatie brand hiko kiwembe cha wachina tunaweza kununua hata viwembe vitano ndo nywele zinakatika tena hizo za kwapa tu
π π πKwa sisi wenye ukomavu wa nywele lazima tuzingatie brand hiko kiwembe cha wachina tunaweza kununua hata viwembe vitano ndo nywele zinakatika tena hizo za kwapa tu
huwa najiuliza sana
hivi kusambaa kwa bidhaa nyingi ambazo ni low quality au fake kabisaa shida ni wafanyabiashara kutaka faida kubwa au wanunuzi kupenda vya bei nafuu
naona hata zile simu feki zilizofungiwa miaka kadhaa nyuma zimeanza kurudi kwa kasi
π π πKwa sisi wenye ukomavu wa nywele lazima tuzingatie brand hiko kiwembe cha wachina tunaweza kununua hata viwembe vitano ndo nywele zinakatika tena hizo za kwapa tu
Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapana na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa